Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,140
Mkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..Ukikuta imerudishwa ujue yumo kama wewe
Na wahuni wana m "CC"
Kwani JF Ina mipaka ya umri hadi umshangae huyo,mamaako?!!Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Kweli poorbrain!Mkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..
Alafu nifatilie je huwa ana log in au anaangalia habari mbali mbali
Mkuu sasa kwa hali ya humu jf kweli bi mdashi et awe ana log in...Kwani JF Ina mipaka ya umri hadi umshangae huyo,mamaako?!!
Hapana mkuu... Upeo anao ila daaah hii noma ujueSasa mamako kutumia jf kuna shida gani mkuu?
Au unamuona hana upeo wa kuchangia!
Mbaga kuna siku takufata na MK 47 broo πππLabla ndo Erythrocyte
Huenda Yuko kwenye mambo ya mapishiMkuu sasa kwa hali ya humu jf kweli bi mdashi et awe ana log in...
Imagine tuu
Hii hapana sitaki iwe hvo mkuu
Daaah mkuu unataka kusema mama angu mimi ni lucas πππAna account kabisa anajiita Lucas Mwashambwa
Au tlaahtlaah!Ana account kabisa anajiita Lucas Mwashambwa
Na bora iwe hvo mkuu au huwenda ajajiunga kabisa ila anafatilia tuu kwa juu juuHuenda Yuko kwenye mambo ya mapishi
Nick name!Daaah mkuu unataka kusema mama angu mimi ni lucas πππ
Mama mzazi mkuu...Mama mzazi au mama wife.
Acheni ujinga nyieNick name!