Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,204
- Thread starter
-
- #181
Mkuu angalia buku isikutie gharama za kujitibia magonjwa ya tumbo.
Supu na chapati 1000???
Mtakuja ugua kwa supu za vibudu vya broiler ndugu yangu!!!
Ebu zingatia masomo mengine waachie mabaharia
Sina uhakika sana.Nilikua shinyanga cku chache tu na kiuhalisia nilishangaa sana maana bei ya nyama huko haina tofauti na jijin dar.labda kama ni vijijin haswaaaIyo n bei ya shinyanga kijijini kwetu mkuu.. Tena supu safiiiii kabisaaa..
Unapewa na kipande cha pilipili na limao. Na mchuzi ukiisha unaongezewa na nyama juuu
Yani ni tamuuuu sanaa..
Sasa mkuu kama ng'ombe zinatokea huku, unataka bei ya supu kwa huku shinyanga zifanane na za huko mjini kwenu
Em kuwa sereouz..
Anaetunzwa ni mke
Kama sio mke atatunzwa na baba ake huko ni kuingilia majukumu yasituhusu ila wengi hawalielewi hili ni tamaa tu
Sina uhakika sana.Nilikua shinyanga cku chache tu na kiuhalisia nilishangaa sana maana bei ya nyama huko haina tofauti na jijin dar.labda kama ni vijijin haswaaa
hahaha. ...vibaya hivooo love. .. mwenzio kalizwa buku teh
π€£π€£π€£π€£π€£ππππ noma sana mazee
hahaha. . kuna comments mtoa mada automatic povu linamuhusu tehteh! !! tumpe pole tu hakuna namnaπ
Ndiyo mkono wake unapofikia kujikuna buku... hahaha
Sijawahi kudeal nao ila nafahamu kwasababu nimeanza kutumia hizi social media tangu enzi za Hi 5 na Tagged so nilifanikiwa kuona mengi ya mitandaoni.Hahaaa...ulishawahi kubadilikiwa na dume lenzio nini baada ya kuwasiliana nalo JF afu ukaonana nalo ana kwa ana? [emoji1]
Kwako ndogo. Kwangu kubwa.
#UsiforceTufananeee
Ili viniletee magonjwa eti?Hahahaha. Vizuri kitandani balaaa. Mengine siyo shida unaviacha tu vikazimue kwa watoto wenzake
Kwamba mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa hatakiwi hata kudindisha[emoji2956][emoji2956]!! mamaee!! sasa mbona ni wanaume wengi sana tutakufa na vipururu!