Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Hizo dk 40 romance ndo kujifanya sharukhan unajua mapenzi? Dk 3 tu unachomeka mpini mbwa wewe.
Ila hauumwi na kapime amiba au typhoid dogo

Huyu ameforge practical.😂😂😂😂
Kabisaa 😂😂😂Huyu ameforge practical.
😂😂😂😂Dk 40, mkuu?? Unaandaa nini? Wengine ulimi ukipita shingoni tu basi kazi imeisha.
Huyo amefanya kila kitu hata uvinza atakuwa amezamaWatu wanawezaje kufanya Romance? Mbona nahisi kichefu chefu, afu Dkk 40? Si mlipeana sana mimate humo? Mmmmh
Jamaa anajikuta barca ya guardiola😂40 dakika unamchezea afu utegemee iendelee kusimama vizuri😁
Ubingwa unaupoteza kwa sifa yakupga pass
Dah mwanetu umetuangusha sana unafungwa game ya nyumbani huyo harud tena hapoWakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.
Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.
Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.
Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Bila shaka huyo Binti alikuendea Kwa sangoma kabla ya kufanya uamzi wa kuja kwako.Wakuu kwema,

Trust me Brother.Ulimpima huyo demu ukakuta ana hayo makolokocho uliyoyasema?
Na kwanini isiwe kinyume chake?? Kwamba demu kanusurika kumwagiwa mimanii yenye migono, makaswende etc??Trust me Brother.
Wanaume lazima tupeane tips, mojawapo kuepuka magonjwa kwa kukimbia zinaa. Demu anaweza kuishi na magonjwa hayo kwa muda mrefu bila kuonyesha dalili ila sisi ni 24 hrs tu unaanza kuona mabadiliko kwenye miili yetu.Na kwanini isiwe kinyume chake?? Kwamba demu kanusurika kumwagiwa mimanii yenye migono, makaswende etc??
hofu ni mbaya sana juzi nipo na manzi ile kuanza kumpapasa mara mapigo ya moyo hayo mbio aisee nikajikuta wazungu hao alivyoondoka ile kuanza kuchart mnanra unarud hewani na hapo ni ndani ya dakika ka 10 ivi tu tangu demu aondoke aisee hofu mbaya sanaWakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.
Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.
Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.
Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Hofu ya nini kijana? inaonekana kei kwako ni kitu hadimu sanahofu ni mbaya sana juzi nipo na manzi ile kuanza kumpapasa mara mapigo ya moyo hayo mbio aisee nikajikuta wazungu hao alivyoondoka ile kuanza kuchart mnanra unarud hewani na hapo ni ndani ya dakika ka 10 ivi tu tangu demu aondoke aisee hofu mbaya sana
unajikuta unashikwa na wasiwasi basi hapo unapata pre -cum chapu au upwiru ndio unachangiaHofu ya nini kijana? inaonekana kei kwako ni kitu hadimu sana