Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

Vijana hizo romansi zinawafelisha sana. Kilichotakiwa ndani dak 10 tangu aingie kwa vile hamkuwahi b4 angekula cha kufikia kabla yeye hajafanya mipango mingine. Tena hata kwenda chooni angeenda kujisafi vyote. Ndipo mpige stori na makaribisho ya misosi na hapo matomansi. Mnafeli sana vijana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakuu kwema,

Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.

Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.

Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.

Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.

Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Hii hali kuna mambo haya yazimgatie:
1.Mungu amekuokoa yawezekana huyo demu anaugonjwa mbaya sana
2.Yawezekana ulipania sana na ungemuumuza huyo demu Mungu amemuokoa
Sasa ishia hapo usimtafute tena
 
Mwambaee
1. Acha punyeto au
2. Demu ana au kafanyiwa madawa ya nguvu za giza
3. Akija mkague inawezekana ana pini au sindano kichwani au
4. Acha kupania game au
5. Acha papara au
6. Muandae mwanamke dk 15 had 25 mwisho, hyo 40 saikolojia itakuwa imehama au
7. Inawezekana wakati unaye ulikuwa unamuwaza au unamfananisha na demu mwingne au
8. TAFUTA PESA ACHA UJINGA AU
9. NARUDIA TAFUTA PESA ACHA UJINGA
10. inawezekana dhakari yako ni fupi au umepga nyeto sana, hvo kuivalisha kondomu damu ilishindwa kutembea kwenye mishpa vzui...

ANYWAY, TAFUTA HELA ACHA UJINGA, NA UKIMWI UPO NA UNAUA, HAPO AMEANZA KUWAGAWIA WOTE MLIOKUWA MNAMTONGOZA ANAGOMA, HUWEZ JUA WEWE NI WANGAPI!
 
Ngoja waje wadau watoe elimu , ni jambo la kawaida kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom