Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

Mkuu umeshindwa hata kuisimamisha na mti?
Ila usihofu sana mkuu ni kawaida sana kutokea mambo kama hayo especially ukiwa umepania sana mchezo au ukiwa na hofu kupitiliza au ukiwa hujala mlo kamili.

Next time Kula vizuri masaa kadhaa kabla ya rematch,, kunywa maji mengi halafu waite tena yanga uwanjani...
 
Um
Wakuu kwema,

Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.

Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.

Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.

Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.

Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Umejichosha kwa kupiga pass nyingi golini kwako unakumbuka kushambulia muda umeisha
 
Piga zoezi haswa, mwili na kegel, kula korosho na maziwa fresh, baada ya week Moja tuu mwite, upumzike pia, uache stress, kunywa maji kabla ya sex,

Pole sana, hili swala linaanza kuonekana la kawaida!!
 
Wakuu kwema,

Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.

Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.

Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.

Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.

Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Pima kama huna magonjwa kama kichocho, gonorea, haya hupunguza nguvu za Kiume.

Ukikutwa na hayi magonjwa Tibu. Utakuwa sawa
 
Dakika arobaini unandaa gemu imekua uefa hiyo Mkuu si ndondo tu hizi ambazo unakuta kibendera anashika shati na kibendera wa wa upande wa pili asipokuwepo gemu inachezwa tu refa mwenyewe unamkuta ana kadi ya njano mfukoni red hana....
Just imagine dakika 40 unasimamisha mashine kwa romance tu mpaka kuja kutaka kumla dem mashine imeshachoka mamaeee
 
Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.

Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena.

Mwanetu ndio ushaaga mashindano kama masihara vile...
 
Vijana hizo romansi zinawafelisha sana. Kilichotakiwa ndani dak 10 tangu aingie kwa vile hamkuwahi b4 angekula cha kufikia kabla yeye hajafanya mipango mingine. Tena hata kwenda chooni angeenda kujisafi vyote. Ndipo mpige stori na makaribisho ya misosi na hapo matomansi. Mnafeli sana vijana
 
Back
Top Bottom