Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,679
Hofu iyo tu na jiamini kijanaunajikuta unashikwa na wasiwasi basi hapo unapata pre -cum chapu au upwiru ndio unachangia

hapo ndio kipengele sijui shida inakuwa nini yani unajikuta unashikwa na wasiwasi ghaflaHofu iyo tu na jiamini kijana
We jiamini tu kijana na acha kuwaza sijui umfanye hivi mara vile na akifika anza nae romance na kila kitu kitajisethapo ndio kipengele sijui shida inakuwa nini yani unajikuta unashikwa na wasiwasi ghafla
Iyo inatokeaga mara moja moja kwa sisi above 40 ila tuliza wenge na akili unarud kuwa normal tu.Wakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.
Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.
Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.
Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Wkati upwiru unautengeneza, ulikua Bize na hela kuzisakaunajikuta unashikwa na wasiwasi basi hapo unapata pre -cum chapu au upwiru ndio unachangia
upwiru na kusaka hela hakuhusiani mkuuWkati upwiru unautengeneza, ulikua Bize na hela kuzisaka
Sasa wewe upwiru umekujaje.. umekuja baada ya kua Bize na mambo yakoupwiru na kusaka hela hakuhusiani mkuu
Ukiona nini? Siku hizi kuimamisha ni diliWakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.
Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.
Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.
Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Siungeuza tu mechi?alaaa!Wakuu kwema,

Ungekuwa kwenye ndoa ningekushauri, ila kumshauri mzinifu ni kujiongezea akiba ya madhambi, miaka 27 ni umri sahihi wakuwa kwenye ndoaWakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.
Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.
Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.
Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.
Jana nilinunua korosho, umenifanya nizitafute asubuhi hii, nitafune kidogo kabla sijaendelea na mambo mengine.Piga zoezi haswa, mwili na kegel, kula korosho na maziwa fresh, baada ya week Moja tuu mwite, upumzike pia, uache stress, kunywa maji kabla ya sex,
Pole sana, hili swala linaanza kuonekana la kawaida!!
Wewe huwa unaandaliwa kwa dk ngapi ?Watu wanawezaje kufanya Romance? Mbona nahisi kichefu chefu, afu Dkk 40? Si mlipeana sana mimate humo? Mmmmh
Kwa faida ya wengi , share knowledgeUngekuwa kwenye ndoa ningekushauri, ila kumshauri mzinifu ni kujiongezea akiba ya madhambi, miaka 27 ni umri sahihi wakuwa kwenye ndoa
Dakika 40 ni deni la taifa unalipa au?Wakuu kwema,