Nimepewa invoice ya kumnunulia matairi ya Prado, Jamani wadada!!!

hahahaah!
hiyo ni mitego, tegua kwa kumnunulia tairi zote 4 ongeza na spea tire ya tano kesho utaambiwa power window imekufa.
 
hahaha! umenkumbusha mbali. Kama huwezi acha tu ndugu, utaumia tu maana ukishapita utawaza kama hio milion kasoro ina thamani sawa kwako na huo utamu. Hehehe ndo hapo majuto mjukuu.
Ukifanya hilo lazima lifuate lingine...
 
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?

Kwa kukusaidia tuu.
Tairi moja la prado ukikuta duka wanalouza kwa bei nafuu sana ni sh300,000/-
Matairi manne, fanya 300,000/- X 4 = 1,200,000/-
Kwahiyo sio milioni kasoro bali ni 1.2M.
Jipige pige hata kwa kuchukua mkopo bank ili uonekane ni kidume.
 
[FONT=comic sans
ms]Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa
kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya
uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia
matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, nimnunulie matairi alafu tutazungumza
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?

Nimtukane ama!!!!!!
[/FONT]

Huyo hakutaki. Mi kama mtu simpendi huwa namtajia aninunulie vitu ambavyo najua lazima atatoka nduki then nabaki namcheka.
 
Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, nimnunulie matairi alafu tutazungumza
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?

Nimtukane ama!!!!!!
Kuna alienunua Gari,
Yupo anaegharamia mafuta kila siku,
Pia kuna mwengine anaegharamia Services,
Wewe Unanunua Matairi,

MKO WANGAPI??? TULIZANA!!
tap tap tap tap!!!!!!!!!!!!
 
hahahaah!
hiyo ni mitego, tegua kwa kumnunulia tairi zote 4 ongeza na spea tire ya tano kesho utaambiwa power window imekufa.

Haaahaahaahaa. Promise ya kugegeda itapatikana baada ya kulipia engine overhaul! Naona kama unatafuta kuwa na uhusiano wa Kimapenzi na PRADO
 
Nauliza kwani kuna uwiano kati ya milion moja na mbunye?
Kwani raha uwa ipo kwa upande moja?
Mapenzi kitega uchumi hii siyo sawa kabisa.
 
Kwa kukusaidia tuu.
Tairi moja la prado ukikuta duka wanalouza kwa bei nafuu sana ni sh300,000/-
Matairi manne, fanya 300,000/- X 4 = 1,200,000/-
Kwahiyo sio milioni kasoro bali ni 1.2M.
Jipige pige hata kwa kuchukua mkopo bank ili uonekane ni kidume.
Retread tyres zimejaa tele. Vivile kuna discount kibao.
 
Nikiwashauri muende KIMBOKA Buguruni mnaniona hamnazo, kule ukiwa na buku tano tu unakula mzigo wa totoz mbichi kabisaa, hawaulizi jina lako wala kutaka kujua namba yako ya simu na unapoishi....

Mkuu, hizo zinaitwa buffet yaani unajichukulia bila bila kumiliki.
 
Ndio maana kuna wadau waliomba iletwe mada ya njia mbalimbali za kistaarabu za kupiga mizinga.

Maduu wanaharibu sana siku hizi, mizinga mingine inawashusha thamani bure...
 
za kichina roadshine za prado 240,000/-...........angepewa invoice ya bridgeston,dunlop,pirelli tusingemuona hapa angekuwa kashapigwa massive heart attack........
ha haaaa, sasa watoto wa mujini wanaweza tumia tairi za kichina?
au ndo yale tairi moja wananunua watu8?
maana mjini hapa unaweza dhani unamjengea mtu nyumba kumbe hiyo nyumba mnaijenga watu 5, chezeya watoto wa mujini wewe
 
Last edited by a moderator:
Na wewe nipe invoice aisee ila tukaandikishane kwa mwenyekiti Baba V
ilishalipwa zamaaani.....
ngoja nitafute safari ya masafa marefu ili angalau ndani ya 3 years nitakiwe kuyabadilisha tena nikuletee....
mkataba wangu kwa Baba V tayari mbona, huwa haruhusu mke wa mtu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom