Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
teh teh teh..dah
mwambie aliemnunulia io Prado anunue na matairi pia/

[FONT=comic sans
ms]Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa
kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya
uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia
matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, nimnunulie matairi alafu tutazungumza
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?
Nimtukane ama!!!!!!
[/FONT]

Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
hiyo hela ni ya tairi moja au zote 4?Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, nimnunulie matairi alafu tutazungumza
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?
Nimtukane ama!!!!!!
tafuta pesa uchukue mzigo. wanaume tumeumbwa kutafuta lol
mwanangu tabia yakusemana sio nzuri,unanisema mimi kabisa kisa nimekuadisia! haujaombwa invoice ya mafuta ya kila mwez[FONT=comic sans
ms]Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa
kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya
uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia
matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, nimnunulie matairi alafu tutazungumza
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?
Nimtukane ama!!!!!!
[/FONT]
ha ha!! nilipotea kazini. id bado ile ile, not changing in the foreseeable future 🙂Where have u been? Nulikumiss
Hadi nikadhani umebadili ID
Kwenye invoice tu, amenipeleka mbali sana. Angeniambia laki tu ningekula kona
Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.