TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
hiyo hela ni ya tairi moja au zote 4?
kama 4 labda za baby walker....
mwezi uliopita nimebadilisha tairi 4 za prado ilikuwa zaidi ya 2M........
cha kufanya hapo wewe mwambie umeghaili, katafute ambaye anatumia dala dala..... wapo wengi tu akina Smile, lol!
za kichina roadshine za prado 240,000/-...........angepewa invoice ya bridgeston,dunlop,pirelli tusingemuona hapa angekuwa kashapigwa massive heart attack........