ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,115
- Thread starter
- #81
Huko ni kutapatapa na kutokuwa msimamo(opportunism).chadema inajitofautisha na ccm katika maadili na ikulu ni lengo lkn si kwa gharama yoyote hasa ufisadi. Hata hivyo lowasa ana hakika gani kushinda kama siyo kuja kutuchafua?