Nimependa changudoa

R.I.P. mdogo wangu wana Jf tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi!
 
Km umempnda ongea nae kwanini aliamua kufanya ivo, ukiridhika na sababu zake nenda mkapime,umuoe.
Kuna MTU alipata changu ivo ivo, akampeleka kwake akangangania Adi Leo ni Mke mwema, kumbe alifanya ivo kutokana name matatixo alioyapata.
 
muulize kama yupotayari kuacha na kuwa commited....na sababu za yeye kuingia hukoni niniili msijepotezeana na ukalost mazima
 
huyu jamaa bid2015 si ajitokeze sasa na aseme kama amemuoa huyo dada!uzi wa toka 2012,bado unatolewa ushauri tu!
 
Oa ila uwe na uhakika baba na kaka zako hawajapita hapo vinginevyo utaishia kumtia mapanga atakapokua anasalimiwa na kila mtu,hutaacha kumshuku hata akisalimiwa na ndugu zake,mke anauma dogo usiende spid
 
Sio kwa ndoa wewe achakumdanganya mtoto,watu wameoa tu kawaida kila siku jakamoyo ukioa changu je?labda umuwekee mtego kwenye puchi ili akilalwa anase,sio vinginevyo hicho nikitanzi cha kifo
 
Oa tu mkuu, mapenzi hayachagui, "MACHANGUDOA BUBU" wapo wengi tu kitaa
 
HATUKUSHAURI,SIKU AKINUNA ,BALAA LAKE HUTOLIWEZA NI WAOVYO SANA.JITAHIDI UISHI SOCIAL LIFE UPATE WA HUKO CHUONI KWAKO LAKINI SIO HAWA AMBAO TOKA WAKIWA NA MIAKA 15 WALIWAKAIDI WAZAZI WAO KUHUSU KUSOMA AU KUWASIKILIZA KWA LOLOTE LILE,KIFUPI HUTOWEZANA NAO
 
Kapime ukimwi
 
Mkuu wasikukatishe tamaa muhimu ni utayari tu katika majukumu hayo mapya, hata hao waliooa na wenye wachumba waliotulia hawana uhakika, kuna stori moja ya rafiki yangu wa karibu alieokota dada poa pale kona na hadi leo ni mke mwema kabisa katulia nyumbani vizuri sana, maana ukimuuliza anakwambia hakuna starehe asiowahi kuifanya so kaamua kutulia na sasa pale kitaa kinondoni ni dada wa kupigiwa mfano
 
"kula..... Kula tu Mjomba, wahenga walisema KIZURI KULA NA WASWAHILI WENZIO"
 

Acha kumpoteza mwenzio kahaba ni kahaba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…