nimekwama jamani yaani huyu dada sielewi kwann beki hazikabiuzuri unapotea ukiwa unajiona na akili zimo
kupanga ni kuchagua
changua kufuata moyo ama akili
Kaka pole. Kwa namna unavyomsifia huyu binti, anaonekana ni mrembo sana halafu changudoa. Sasaaa, alivyo mrembo hivyoo ni wanaume wangapi wamewahi kulala nae kabla ya kuanza hio biashara? na baada ya kuanza hio biashara ni wangapi? wangapi wazima na wangapi wamegonjeka? we ni wa ngapi? je bado anaendelea na biashara yake?
Je ukiitafakari kesho, unaiona future yako ambayo umekua ukiiota? unaona umri uliotamani kuuishi mbele yako kwa hali hiyo, Mkuu mimi naona kiza kinene mbeleni, tafadhali tumia ubongo wako vizuri kuushinda huo mwili usiokubaligi kushindwa kirahisi rahisi, hadi utie juhudi sana ndio utaushinda.
Mungu akutie nguvu unapofanya maamuzi, you have a great future ahead of you brother, think clearly. ''Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe, nayo tamaa ikikomaa huzaa dhambi, nayo dhambi ikikomaa huzaa mauti''
Dah kaka umeniogopesha bado abauza. Mwanzo nilipotezana nae nikakutana nae anajiuza siku ya fiesta dar nikaendelea kulaKaka pole. Kwa namna unavyomsifia huyu binti, anaonekana ni mrembo sana halafu changudoa. Sasaaa, alivyo mrembo hivyoo ni wanaume wangapi wamewahi kulala nae kabla ya kuanza hio biashara? na baada ya kuanza hio biashara ni wangapi? wangapi wazima na wangapi wamegonjeka? we ni wa ngapi? je bado anaendelea na biashara yake?
Je ukiitafakari kesho, unaiona future yako ambayo umekua ukiiota? unaona umri uliotamani kuuishi mbele yako kwa hali hiyo, Mkuu mimi naona kiza kinene mbeleni, tafadhali tumia ubongo wako vizuri kuushinda huo mwili usiokubaligi kushindwa kirahisi rahisi, hadi utie juhudi sana ndio utaushinda.
Mungu akutie nguvu unapofanya maamuzi, you have a great future ahead of you brother, think clearly. ''Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe, nayo tamaa ikikomaa huzaa dhambi, nayo dhambi ikikomaa huzaa mauti''
Huwa nampimisha kila nikikuyana nae. Na juzi nimekutana nae fiesta akanirubuni japo nilimpeleka kumpimisha akawa safi. Ila biashara anaendeleaBhana, sikiliza moyo na hisia zako!
Jiulize wewe umesha du mara ngapi na wanawake wangapi? Je unadhani ni sahihi uhukumiwe kwa your past experience?
Umeshajaribu kumdodosa nini kilichomfanya awe changudoa? Umejua msimamo wake juu ya uwezekano wa kuacha hiyo biashara ya kujiuza?
Ushauri
usifanye haraka, endelea kumchunguza, mwende kupima VVU, Tumieni kifudusi(Condom) kila mnapongonoka,
Huyu ni mrembo coz alishiriki mashindano ya umiss akashika namba za juuthe mistake was kuchukuwa namba....changudoa niwakumega na kuacha usichukue namba maana ukimlamba zaidi ya mara moja unajenga kuzoeana.
anyways kwa sasa mie naona wewe ufute hiyo namba alafu ukiwa na hamu ya kugegeda demu tafuta malaya mwengine.
Hapo umeua kakaMuoe tu
ikitokea mmechaha au umefukuzwa kazi
atatumia ajira yaku kukukwamua
utakuwa unamsindikiza mwawindoni na kumlinda na wateja wakorofi lol
una miaka mingapi Tized? manake daaaaah!Kaka pole. Kwa namna unavyomsifia huyu binti, anaonekana ni mrembo sana halafu changudoa. Sasaaa, alivyo mrembo hivyoo ni wanaume wangapi wamewahi kulala nae kabla ya kuanza hio biashara? na baada ya kuanza hio biashara ni wangapi? wangapi wazima na wangapi wamegonjeka? we ni wa ngapi? je bado anaendelea na biashara yake?
Je ukiitafakari kesho, unaiona future yako ambayo umekua ukiiota? unaona umri uliotamani kuuishi mbele yako kwa hali hiyo, Mkuu mimi naona kiza kinene mbeleni, tafadhali tumia ubongo wako vizuri kuushinda huo mwili usiokubaligi kushindwa kirahisi rahisi, hadi utie juhudi sana ndio utaushinda.
Mungu akutie nguvu unapofanya maamuzi, you have a great future ahead of you brother, think clearly. ''Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe, nayo tamaa ikikomaa huzaa dhambi, nayo dhambi ikikomaa huzaa mauti''
Amesema nimnunulie gari na kunfungulia duka la nguo atatulia. My take vyote hvo viko ndani ya uwezo wangujamani naombeni mm nilisemee hili kwa mitazamo tofauti na hapa nakupa wewe mtoa mada nafasi ya kuchagua kwa makini.
changudoa kupendwa na kufanywa mpenzi hadi mke si kitu kibaya hata kidogo ila tu itategemea utayari wa mdada na wewe mwenyewe. iwapo binti atakubali kuachana na jkazi hiyo, na kuambatana na mumewe na kuwa mwili mmoja basi huyu CD can make a material wife.
on the ither hand ikiwa kwamba huyu CD akakubali kuolewa ila moyo wake usiambatane na mumewe basi huyu hafai kuwa material wife na kumuoa ni sawa na kujitwisha gunia la misumari ama kiroba cha mavai. however kama binti ama huyu Cd atakataa kabisa kuoleewa ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni bora zaid kuheshimu mtazamo wake huu.
kiukweli sababu za mtu kuwa changundoa ni mtambuka na wapo wanaoafanya kwa kupenda na wapo wanaofanya kwasababu ya stuataion tu. tusikhukumu kwamba hafai kuwa mke ama tusimtetee kwamba anaafaa kuwa mke pasi kumpa nafasi ya kumchunguza na kumsikiliza binti husika.
jaribu wewe mtoa mada kuongea li ujue kwann anafanya kazi hiyo na je alishawishia na kitu gani na kama yuko tayari kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kuacha biashara hiyo. kamwe usi du bila kondom wala usimwonyeshe hisia za wazi pasi kumchunguza sana sana.
Bhana, sikiliza moyo na hisia zako!