richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,026
- Thread starter
- #41
Toka naingia, uafrika ni tatizo"they are taking our jobs" ndio kauli utakayokua unaisikia kila mpaka uwakumbuke utumishi
Toka naingia, uafrika ni tatizo"they are taking our jobs" ndio kauli utakayokua unaisikia kila mpaka uwakumbuke utumishi
Acha chuki unataka kujua nini?Sema nini weka mchongo wazi ili kila mtu mwenye shida ya kulipuka ajilipue otherwise hii post yako itakuwa haina tija hapa, huo ndio utofauti wa mbongo na mkenya au mpopo maana wenzetu wanalimwaga tu hadi youtube ndiomaana wanasafiri sana. Mbongo kasaidiwa lkn kutoa mchongo ni mchoyo sana.
Ndio mkuuHapa sentesi imenyooka. Ofisi ya mzungu ambayo iko Poland?
Mimi nikuchukie wewe na sikujuiAcha chuki unataka kujua nini?
Kuna sehem nimekataa kuweka details?
Wako hapa na wenyewe wanasubiri kazi kama mimiNepales ni waHindi weusi wanao tumika kama agents/mawakala na wazungu crucruite cheap labour kwa makapuni ya wazungu huku Ulaya
Unaulizwa kuhusu agency uliyotumia unazunguka mbuyu tu sasa maswali gani ulitaka kuulizwa? Unaulizwa process za viza na mchongo mzima umekaaje unazunguka mbuyu tu sasa kulikuwa na maaana gani ya hii post yako?Acha chuki unataka kujua nini?
Kuna sehem nimekataa kuweka details?
Neno chuki tu ndio umeliona sentesi nzima?Mimi nikuchukie wewe na sikujui
Unataka namba za Agent?Unaulizwa kuhusu agency uliyotumia unazunguka mbuyu tu sasa maswali gani ulitaka kuulizwa? Unaulizwa process za viza na mchongo mzima umekaaje unazunguka mbuyu tu sasa kulikuwa na maaana gani ya hii post yako?
Poland of all countries, wewe unapelekwa mashambani, au Ukuraini kutoa cheap labour, hapo kuna wahamiaji wengi kutoka Ukraini hamna kazi za maana.Wako hapa na wenyewe wanasubiri kazi kama mimi
Uliaga kwenu kijijijini? au iliondoka kimya kimya, uko huenda usirudi salama usinge enda poland, Russia itawatandika vibaya....Mchakato umechukua zaidi ya miezi 6,
Gharama za nauli nimelipa dolla 600,
Pocket money laki nane..
rafiki alini connect na agent.
Mimi sihitaji lakini kuna watu humu wanahitaji. Mimi poland siwezi kwenda maana mishahara ya poland naijua kwangu mimi haiwezi nisaidia, lakini wapo wahitaji hivyo ni bora ukawapa moja na mbili kuhusu mchakato wa viza ili uzi wako ujitoshelezeUnataka namba za Agent?
Uk napo ni miyayusho tu sikuizi alafu hawapo shenghen so hawezi kwenda lakini anaweza kwenda nchi nzuri kama germany na ni karibu tena bila njia za panya maana si anaviza ya kaziPoland of all countries, wewe unapelekwa mashambani, au Ukuraini kutoa cheap labour, hapo kuna wahamiaji wengi kutoka Ukraini hamna kazi za maana.
Kuna deal la kwenda uarabuni.
kwema wakuu, mimi sio mwandishi mzuri, naomba huu uzi uwe kwenye stail ya maswali..ili niandike kile mnachohitaji tu.
Niulize na nitajibu bila kuficha kila kitu, lengo ni kupeana moyo.
Hapa naandika leo ni siku ya tatu niko Europe,
So kila hatua nitawajuza
Hizo picha niko ofisi ya kazi na wa Nepal, wamechukua karatasi za maelezo kama unavoziona na passport, shida hao wa Nepal wana visa ya nchi tofauti na hii tuliyopo so mpaka jamaa waka-comfirm kama wanaweza kufanya kazi hapa..wametuweka sn