ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,850
Nilitaka kukoment kitu lkn nikaogopa kuitwa mchawi kwenye jitihada za watuKuzamiá ulaya sikia tu kwa mwenzio, huyu bado sanaa kutoboa hiyo ni hatua ya kwanza bado hatua 9
Nilitaka kukoment kitu lkn nikaogopa kuitwa mchawi kwenye jitihada za watuKuzamiá ulaya sikia tu kwa mwenzio, huyu bado sanaa kutoboa hiyo ni hatua ya kwanza bado hatua 9
Siko Nepal ila tuko pamoja na wanepalHongera sana mkuu lakini sina uhakika kama Nepal ni ulaya.
Soma tena utaelewaHata mimi nimeshangaa hapo.
Waombe hiyo fomu uende ukajaze nyumbani ukiwa umetulia alafu irudishe kesho kutwa kama watakuruhusu,usikurupuke.Siko Nepal ila tuko pamoja na wanepal
Upo kwenye ofisi za Wanepal ambao wapo Poland ?Soma tena utaelewa
Mchakato umechukua zaidi ya miezi 6,Upo nchi gani Europe na kazi gani imekupeleka huko..
Je gharama za nauli na pocket money ni kama tsh. Ngapi.
Ulipataje kazi hiyo na mchakato mzima umetumia muda gani?
Hata Europe sasa hivi ni ngumu pia.Hongera kwa hatua hiyo, ila visa zenye kash kash ni UK na USA
Poland mchongo upo wazi sana ni kupata agent trusted tu maana kazi ni nyingi zisizohitaji ujuzi wala nini sema mishahara kama bongoHata Europe sasa hivi ni ngumu pia.
Hizo mbili nilizokutajia ni kipengele zaidi ya ugumuHata Europe sasa hivi ni ngumu pia.
Sikubishii cha msingi ni nia tu,kama nimepita njia ya kwanza Mungu atanisimamia nitapita na hizo tisa hata kumi, hakuna maisha rahisiKuzamiá ulaya sikia tu kwa mwenzio, huyu bado sanaa kutoboa hiyo ni hatua ya kwanza bado hatua 9
Usiogope mkuu andika unachojisikia.Nilitaka kukoment kitu lkn nikaogopa kuitwa mchawi kwenye jitihada za watu
Inawezekana, Gharama za malazi ziko juu wacha nikajishikishe huko kwanza uku nikiangalia michongo mingineWaombe hiyo fomu uende ukajaze nyumbani ukiwa umetulia alafu irudishe kesho kutwa kama watakuruhusu,usikurupuke.
Niko kwenye ofisi pamoja na wanapal, wote tunataka kazi..ofisi ya mzunguUpo kwenye ofisi za Wanepal ambao wapo Poland ?
Shida sio Agent shida ni visa,Poland mchongo upo wazi sana ni kupata agent trusted tu maana kazi ni nyingi zisizohitaji ujuzi wala nini sema mishahara kama bongo
Hapa sentesi imenyooka. Ofisi ya mzungu ambayo iko Poland?Niko kwenye ofisi pamoja na wanapal, wote tunataka kazi..ofisi ya mzungu
Nepales ni waHindi weusi wanao tumika kama agents/mawakala na wazungu crucruite cheap labour kwa makapuni ya wazungu huku UlayaUpo kwenye ofisi za Wanepal ambao wapo Poland ?
SawaHizo mbili nilizokutajia ni kipengele zaidi ya ugumu