Nzuri sana hiyo..Mwenye shida ya poland sana aishi na hawa jamaa (www.liveandstudy.eu) agency wa uhakika hao wana wameenda sana.
ššškwema wakuu, mimi sio mwandishi mzuri, naomba huu uzi uwe kwenye stail ya maswali..ili niandike kile mnachohitaji tu.
Niulize na nitajibu bila kuficha kila kitu, lengo ni kupeana moyo.
Hapa naandika leo ni siku ya tatu niko Europe,
So kila hatua nitawajuza
Hizo picha niko ofisi ya kazi na wa Nepal, wamechukua karatasi za maelezo kama unavoziona na passport, shida hao wa Nepal wana visa ya nchi tofauti na hii tuliyopo so mpaka jamaa waka-comfirm kama wanaweza kufanya kazi hapa..wametuweka sn
hiyo picha ulikua unafanyaje?
Uchawi wa Watanzania hauwezi kufika Ulaya!Sasa mkuu, ukirogwa pia uone binadamu wabayaā¦.Kwanini usitulie,mimi huu mwaka wa tano nipo Maryland ila sijawah kujichoresha kama wewe
Usafi msikitini, shamba boy, usafi barabarani nk.Dili gani?
Kuna wanangu watatu wapo huko poland Wanapiga mishe.Angalizo: japo yato ni mapambano ila kuwa makakini sana huko Ulaya mashariki, usipewe kazi yeyote inayohusisha Ukraine na Russia.
Kuwa makini pia nawapolish wasikuhusishe na issue yeyote ya jeshini maana wako na tension ya Russia wanatafuta sana watu kuongeza number ya askari wao.
Wanepalize wengi wamejikuta wameangukia infantry bila intension yao wamedanganywa na maagent wamejikuta front line with no past experience, wengi wamenasa wanaomba msaada wa kurudi kwao wale majeruhi ndio imekuwa afadhali yao tumerudisha vilema.
Karibu sana Donbass na Kherson usiangukie tu kwenye mikono ya mazayuni wa kiev, SU-35 na Kamikaze ziko kazini na tunasafisha stock ya N/K pia, the sky is clear now all Patriot batteries jammed.
Hajasema yuko nepal,usikurupukeHongera sana mkuu lakini sina uhakika kama Nepal ni ulaya.
Angalizo: japo yato ni mapambano ila kuwa makakini sana huko Ulaya mashariki, usipewe kazi yeyote inayohusisha Ukraine na Russia.
Kuwa makini pia nawapolish wasikuhusishe na issue yeyote ya jeshini maana wako na tension ya Russia wanatafuta sana watu kuongeza number ya askari wao.
Wanepalize wengi wamejikuta wameangukia infantry bila intension yao wamedanganywa na maagent wamejikuta front line with no past experience, wengi wamenasa wanaomba msaada wa kurudi kwao wale majeruhi ndio imekuwa afadhali yao tumerudisha vilema.
Karibu sana Donbass na Kherson usiangukie tu kwenye mikono ya mazayuni wa kiev, SU-35 na Kamikaze ziko kazini na tunasafisha stock ya N/K pia, the sky is clear now all Patriot batteries jamme
Hapa kwenye Agent kuna changamoto, Jamaa atengenezi mkataba wa kazi, anatengeneza working permit peke yake..sasa kuna namna bila mkataba kuna mambo kama TAESA utakwama, Airport napo miyeyusho ukiwa unatoka, Pia polish Embassy wanataka na contract. Mimi nimepita Ki Mungu Mungu mkuu..kama unataka fresh nakupatia namba..Mkuu habar samahani kama hutojali naomba nielekeze ulitumia agent gani kama ukinipa no zake utakua umensaidia sana na bajet mpaka unafika poland ilikua shngapi.
Kindly wait for ur reply
Passport nnayo na bajet nna dola 2000