apirin
Ndio maana mimi huwa nasemaga dini ni sumu katika fikira zetu watu wanabisha na ninajua watabisha
dini zote tulizo nazo afrika zililetwa kwa makusudi ya kuharibu utamaduni wetu utamaduni wa mabbabu zetu kuwa hakuna mtu atayelala njaa kijijini kwa sababu hana chakula kwani kazi zilikuwa zinafanywa kwa pamoja na chakula kinagawiwa kwa pamoja umoja huu ulikuja kuharibiwa na hizi dini zilizoleta utamaduni wao na ndio sababu sasa kuna ufisadi watu tumegeuka si watu kwa kukumbatia fikra ambazo haziko najiuliza kwanini mitume wote walikuja mashariki ya kati na mashariki ya mbali na sio USA afrika na kwingineko why?
tuliua utamaduni wetu wa undugu wakiafrika ndio maana jirani yako hana chakula lkn wewe unatupa chakula asubuhi hii haikuwepo hapo kabla
Heko asprini big up
na katika mila ya kichaga kitochi muhimu halafu hawa wanakuja kuzuia thubutu nani aache beer an mbege ? watafute na kumbe sir god hakututupa akatuwekea kwenye kitabu chao hii yote ni kuwa god yu pamoja nasi na anajali kudumisha mila ile wengine kama FL1 lishashindwa
cheers waita leta safari bariiiiiiiiidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tafadhaaaaaaaaaaaaaali
Mtu aweza kuwa na macho asione na masikio asisikie kama jamaa wasivyoona hilo neno liloko kwenye hiyo bibilia. neno liko direct halihitaji tafsiri mlevi ni mnywaji pombe na sio mnywaji kahawa. hivi neno likiandika vua viate umuone aspirini wewe utahitaji kutafsiriwa hapo? na je mtafsiri akikueleza kuwa vua viatu maanake ni uoge uonde manzese hilo litakuwa sio neno ni neno kutoka kwa mtafsiri
aspirin usisahau kupita hapa kona bar upata moja moto kuchangamsha akili
Habari. nimekuja kumuunga mkono huyu mtumiaji wa kilevi!!!!
Endelea kunywa tena usiache.
BALI KUMBUKA MAMBO MUHIMU,, TATIZO NI MATOKEO YA ULEVI.
KILA JAMBO MLIFANYALO NA LIWE KWA KIASI. KIASI NI = NA UMAKINI.
NANYI NDUGU ZANGU IWENI NA KIASI ILI TUSJE KUCHUJA VIDUDU NA KUMEZA TEMBO.
YESU ALIKUNWA YENYE CHACHU TENA ILE ILIYO BORA SANA. BALI KWA KIASI.
Pia nikuombeni samahani wanyaji wa kileo. kwa bahati mbaya sana, mimi niliamua kuiaga pombe miaka kumi iliyo pita, kwa sababu za kiuchumi!!! na bahati njema sasa namiliki kibanda cha vyumba viwili, kwa ilebajeti ya bia. sasa najiita fisadi kwa kuipotezea TBL mapato. tena ndugu sikuhizi nimenunu na haka kakomuputa. natumia muda wajioni kuharibu nako macho. sasa ninampngo wa kuacha kununua vocha ya intaneti. kwa ajili ya akiba ya kujinunulia miwani baadaye..
Nakuombeni nanyi kama mwaona yanafaa mniunge mkono wana JF.
NB; Yesu alikua mtu kweli na alitaka kuwasaidia walevi pia. hivyo aliwajibika vyema, japo alijua ukuu wake hakutaka kujikweza... yanini ule sana, utavimbiwa kula kidogo acha akiba, hata kama utakufa leo,,, kesho waombolezaji watakusifu....... fahamu pia,
wengi wanamjua YESU hata yesu nae hakumaliza pombe yote. pia aligeuza maji kuwa pombe safi. wakanywa wakaipenda wakamsifu hata sasa../ ILA WEWE USIACHE MAANA NINA BISHARA yangu YA BAA PALE SINZA. Nitakusaka uje nikupige na bia moja..... TUZIDI KUOMBEANA MUNGU ATUJALIE UZIMA.

Well noted!
Yaani:
Kwa kuwa leo ni Ijumaa
Na kwakuwa Biya si dhambi
Na kwakuwa ntakunywa kwa kiasi
Na Kwakuwa nimepata mualiko...
Mimi Babu Aspirin a.k.a ODM a.k.a Big Braza nakuahidi, kabla Jua halijachwea......nitakuwa nawe baa nikiinywa bia uliyoninunulia.
Kama kuna mwingine atakayeona inafaa kuninunulia bia, Nitamfikiria lakini sitamuangusha.
Hommie Big Brother ODM, Tafadhali unikumbuke na mimi katika kuhakikisha tuitendea haki hii TBL maana bila ya TBL serikali kodi ingepata wapi? Pata kopoooz zaidi leo weekend....Kazi ni kwako!Well noted!
Yaani:
Kwa kuwa leo ni Ijumaa
Na kwakuwa Biya si dhambi
Na kwakuwa ntakunywa kwa kiasi
Na Kwakuwa nimepata mualiko...
Mimi Babu Aspirin a.k.a ODM a.k.a Big Braza nakuahidi, kabla Jua halijachwea......nitakuwa nawe baa nikiinywa bia uliyoninunulia.
Kama kuna mwingine atakayeona inafaa kuninunulia bia, Nitamfikiria lakini sitamuangusha.
Halafu unajua bia ina uhusiano na uzazi wa mpango?Kunywa kwa raha zako..
Na mi nakusindikiza na haka kachupa kangu... mmmhhh
Ilimradi hakuna anayeumia au humuumizi mtu yeyote kwa namna yetote ili ....kunywa kwa raha na amani.. Amen..
Ewaaaa....Hakika leo nitakunywa kwa afya yako.Hommie Big Brother ODM, Tafadhali unikumbuke na mimi katika kuhakikisha tuitendea haki hii TBL maana bila ya TBL serikali kodi ingepata wapi? Pata kopoooz zaidi leo weekend....Kazi ni kwako!
Aisee unataka kunikatia stimu?
Mmmhhh babuHalafu unajua bia ina uhusiano na uzazi wa mpango?
Ewaaaa....Hakika leo nitakunywa kwa afya yako.
After this.......Hapana hommie....hapa tunapeana mikakati ya kujenga maghorofa ndani ya medula zetu......
]Halafu wewe nimekumissThere are currently 14 users browsing this thread. (9 members and 5 guests)
Kimey*Asprin+shostilukatonyDaMie+marwachaTumaini Jipya
Hahahah lolTF Hajakuambia? Vijana wa siku hizi bana....damn them!