Nimepata mwaliko wa kwenda Korea Kusini ambako nitaishi huko kama miezi 3 hivi, sasa nilipenda kuifahamu nchi hii

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari zenu wananzengo; mm ni mkazi wa mji mdogo Lushoto, nimepata mwaliko wa kwenda Korea Kusini ambako nitaishi huko kama miezi 3 hivi, sasa nilipenda kuifahamu vzr nchi hii kwa upande wa;
1. Fulsa kama zipo za kazi za kujiingizia kipato. Za muda mfupi zile zisizojali makaratasi.
2. Hali ya hewa kwa ujumla
3. Mazingira yake kwa ujumla.

Karibuni mnijuze wajuzi.
 
... wakati Afrika wastani wa muda wa kufanya kazi kwa wiki ni chini ya masaa 40; Korea Kusini ni zaidi ya masaa 70 kwa wiki. That's fact #1 ujue hapo walipo hawakufika kimchezomchezo bali kwa jasho na damu.
 
Nijuze zaidi mkuu

Wewe vp?
Umepataje mwaliko kwene nchi ya ugeni usiyo ijua? Kwann aliyekupa mwaliko asikujuze hali na fursa zilizoko kule?
Mwisho ni wewe kujiongeza! Search engine zitakuaambia North Korea ni nji ya namna gani kuanzia kisiasa,kiuchumi,kijeshi na kiutamaduni!
One thing for sure: Kwa tabia za kivivuvivu za Wabongo jiandae kisaikolojia!Utapata taabu sana kwa hiyo miezi 3!
 
Back
Top Bottom