mwasita
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 371
- 377
Dah... Kosa kubwa Umefanya.... Mwanaume aidha umpe chakula au aende kula gengeni... Uamuzi ni wako![]()
![]()

Dah... Kosa kubwa Umefanya.... Mwanaume aidha umpe chakula au aende kula gengeni... Uamuzi ni wako![]()
![]()

Mkuu uko sawa kabisa! Mtreat mtu vizuri tena kwa ukarimu kabisa, mshauri, mwonye mara nyingi kadiri inavyowezekana asipokuelewa kwa mda wote huo uliomfanyia hayo basi ukichukua uamuzi usirudi nyuma haijalishi utapitia magumu au kuumia kiasi gani! Na hiyo ndio kusimamia unachokiamini!mh we jasiri hongera hicho ni kitu ambacho nisingeweza fanya hata kama sijapata.Yalinikuta nilimsamehe lakini kurudi hahaha nooooo .moyo wa mtu kichaka.My prayers are with u.Goodluck.
Dah... Kama yeye ndiyo alimbwaga mshkaji halafu ilimuuma... isije kuwa mshikaji kuamua kumutia kwenye 18 zake naye afanye mamboMkuu uko sawa kabisa! Mtreat mtu vizuri tena kwa ukarimu kabisa, mshauri, mwonye mara nyingi kadiri inavyowezekana asipokuelewa kwa mda wote huo uliomfanyia hayo basi ukichukua uamuzi usirudi nyuma haijalishi utapitia magumu au kuumia kiasi gani! Na hiyo ndio kusimamia unachokiamini!
Mungu atakupa wepesi na njia ya kutokea kutokana na maamuzi yako kama ulitenda kwa haki!

Hicho kiherehere cha kutaka kupasha kiporo umekianza tokea lini kwa mfano?ngoja niweke thread ya kuwatafuta ma ex zangu!

Naomba niwe wa nne please!!Ninao watatu.
Una sifa za kuwa mchepuko?Naomba niwe wa nne please!!
afu weye ni mchochezi mi nkua nataniaHii inaitwa kumchoka Mentor!!![]()
![]()
![]()
Ndo najiandaa kuweka tangazoWewe bado?![]()
![]()
![]()
Mkwe upo maana miaka sijui nawewe unataka kukutana na mwanangu mlioachanakipindikileNdo najiandaa kuweka tangazo
Jitahidi mwaya!............unakosa mengi kwani kupanda juu ni tamu sana!!Ndo najiandaa kuweka tangazo
