Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,952
- 10,593
Hapa umekurupuka aisee haha inamaana una uhakika umedelete kila kitu kwa ilo/uliyekuwa naye hapo nyuma??? Mara siku moja anakukumbuka anaamua kukupotezea mood kwa maneno lainiiiii as if mlikuwa naye jana hahahahaaaa apo ndo utajua umepata mume au researcher wa mambo yakonimempa pwd