Nimepata mume asanteni

Nimepata mume asanteni

hapo utagongwa na kuachwa tena...
ulimpa papuchi mwaka juziakaigonga ,..mkachokana kila mtu akatembea kivyake ..leo tena mmekutana mnataka kusuguana na kuoana..sikukatishi tamaa na nakuombea ili hilo pepo lililoacha mkatengana lishindwe na lisirudi tena na tena
hatujawai kufanya mapenzi mimi ndo nilimuacha ni kijana mzuri
 
Kiukweli hongera mana nilikuwa nakuonea huruma.
Ila pia hukukata tamaa japo wapo waliokukejeli,wengine kuleta utani na wengine kukupa moyo.
Kweli atafutaye hakosi
Mungu awabariki.
 
nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
Juzi tu na leo unaye?

Kila la kheri mama.
 
Back
Top Bottom