masupio
Senior Member
- Sep 16, 2014
- 179
- 201
Nawewe pia nawacwac na IQ yako [emoji57] ÀÀ
Umejibu nani hii msg
Umejibu nani hii msg
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mapenz bananimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
Miss Natafuta popote ulipo tunahitaji mrejesho wako na wewe.nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
labda tumemuachia MUNGU AAMUE JUU YETUhongera,,,Kilichopangwa na Mungu mwanadamu asikitenganishe...ulimkwepa lakini bado Mungu akakurudishia yuleyule..alikuwa wako huyo,,usisahau kuomba kila iitwapo leo
ngoja niweke thread ya kuwatafuta ma ex zangu!Miss Natafuta popote ulipo tunahitaji mrejesho wako na wewe.
wala hatujawai kufanya mapenziSiku ya kwanza kupasha kiporo sijui ilikuwaje, any way.
Sasa msianze kufanya kosalililo watenganisha zamani. Kila lakheri.
sio kazi rahisi kaka ila asante kuonesha interestMimi pia nlikua nakumendea kweli sema PM ulikua hujib aisee sijui nnamkosi gani bahati kama hizi zikija zinanipita tuu
hapo utagongwa na kuachwa tena...nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
ha ah ahMlikutana tena kila mmoja amepost atafuta mwenzie?[emoji23][emoji23]