Hahahaaaa! Kumbe mumy we muogaeeHahahaha akija atakua mchungu
Hahahaaaa! Kumbe mumy we muogaee
Ukinyamaza wataendelea kukusumbua PMwala hawakubali bora ningenyamaza

Mwanzo alikua bwana sio sasa ndio mmefunga ndoa kila lakherinimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
mh we jasiri hongera hicho ni kitu ambacho nisingeweza fanya hata kama sijapata.Yalinikuta nilimsamehe lakini kurudi hahaha nooooo .moyo wa mtu kichaka.My prayers are with u.Goodluck.mimi ndo niliesitisha mahusiano yetu nimemuomba anisamehe kwa vile ananipenda acha tujipe nafasi
Niongeze naa mimi ili NIWE wa nne nimalize hesabu auNinao watatu.
Hautaweza weweNiongeze naa mimi ili NIWE wa nne nimalize hesabu au
Mimi nitakuja huko huko mwanza ,naweza kwani wewe unasema siwezi?sio nani liu?Hautaweza wewe
natafuta mume.....