miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,155
nimempa pwd
mh saiv tu ushampa na psd hehehehenimempa pwd
nimempa pwd
mh saiv tu ushampa na psd hehehehenimempa pwd
ngoja zamu yako ifike sasa utachunwa mpaka ngoziNawachuna tu sitaki mume[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah... Kosa kubwa Umefanya.... Mwanaume aidha umpe chakula au aende kula gengeni... Uamuzi ni wako[emoji13] [emoji13]wala hatujawai kufanya mapenzi
Basi ndiomana ulikimbia wewe, usirudie tena mpoze fasta kabla hajaanza kukumbuka zamani.wala hatujawai kufanya mapenzi
Npo hapaWHERE IS MY EX?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]upange uzazi sasa isiwe............. kama nukta hizo
Na wewe umeshapata honey wako?ngoja niweke thread ya kuwatafuta ma ex zangu!
Kila la heri ila akipotea tena achana naye maana hii kuondoka na kurudi kuondoka na kurudi ni hatari mkuu!Be carefull!nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
Hebu tuwekee basi sifa zake, alivyonimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
Alijuaje niwewe? Hyo bahat ganmimi ndo nilipost akaniemail