Nimepata mtoto wa kiume. Mama na mtoto wanaendelea vizuri

Congrats mtu mmoja!!! I am happy for you! Nawaombea Mungu awape hekima na uwezo wa kumlea mtoto katika maadili mema ya kiMungu! bless you.
 
Amen, inapendeza tunapo mkumbuka mungu wetu kwa mema anayotujalia. Mkuu hongera sana, mungu ambariki mtoto ampe maisha marefu yenye amani siku moja na yeye afurahie watoto wake kama wewe.
 
Hongera sana kaka,
Mungu amlinde na kumtunza mtoto pamoja na mama yake.
 
Back
Top Bottom