Nimepata mtoto wa kiume. Mama na mtoto wanaendelea vizuri

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
64
hapa natetemeka kwa furaha, nimeweka muziki wa rose mhando uitwao MUNGU NITAKUSHUKURU. nimejawa na furaha, lakini niko mbali sana nje ya Tanzania, ningependa kuwepo lakini nimesafiri masafa marefu kutafuta maisha lakini mwenzangu kwa ujasiri mwingi kajifungua salama mtoto wa kiume! Glori to God.

nimetafuta kila upande ndugu yangu wa kumshirikisha furaha yangu nimekosa isipokuwa JF members. jamani Mungu ashukuriwe kwa jinsi anavyotujalia waja wake mapaji kwa ukarimu. libarikiwe jina la Bwana wa Mabwana. amen.

nachakarika nirudi mapema nyumbani kumpakata mwanangu... ooo, nimejawa na furaha wapendwa siwezi kusema kwa usahihi
 
I can feel yo joy,am hap for u mkuu. Mungu ashukuriwe kwa zawadi aliyokupa.
Congs for your baby boy......
 
It is difficult to explain moments such as this, suffice it to say 'thanks God'! Tunafurahi pamoja nawe kaka and Congrats
 
Hongera Mkuu, lakini kumbuka kuwa hiyo ni hatua ndogo tu. Kzi kubwa mliyonayo sasa ni kuhakikisha kuwa mtoto anapata malezi na mtunzo stahiki
 
Hongera Mkuu, lakini kumbuka kuwa hiyo ni hatua ndogo tu. Kzi kubwa mliyonayo sasa ni kuhakikisha kuwa mtoto anapata malezi na mtunzo stahiki

ooh thanks mkuu, kulea watoto is my favorite business. if God is with us, malezi ya watoto is so easy, believe me! Glory to God!
 
Hongera sana mkuu,pongezi nyingi kwa mama mtoto........unaweza kumwita msafiri ukiamua manake kazaliwa ukiwa safarini,,,,,natania tu kama upo astralia unaweza mwita sydney au welngton nkkkk mungu ashukuriwe
 
asante sana mkuu na mapendekezo ya majina pia nashukuru. yaani duh, sijui kama nitakuja kuizoea furaha hii!
 
........Congrats for u and your wife, and may you always be as happy as you are now.
 
ooh thanks mkuu, kulea watoto is my favorite business. if God is with us, malezi ya watoto is so easy, believe me! Glory to God!

Sio rahisi kama unavyofikiri,kumbuka tupo Tanzania nchi ambayo tu masikini(ila mafisadi ni matajiri) kwani basic needs za mtoto unayesema ni rahisi kumlea kuzipata ni ngumu labda uwahakikishie wana jf u fisadi pia.
 
........Congrats for u and your wife, and may you always be as happy as you are now.

amen my dear. kusema kweli dear sikuwahi kujua kuwa hapiness is such a thing i am feeling and experiencing now!
 
Back
Top Bottom