Nimepata mtoto wa kiume. Mama na mtoto wanaendelea vizuri

Sio rahisi kama unavyofikiri,kumbuka tupo Tanzania nchi ambayo tu masikini(ila mafisadi ni matajiri) kwani basic needs za mtoto unayesema ni rahisi kumlea kuzipata ni ngumu labda uwahakikishie wana jf u fisadi pia.

hahah, msiogope maisha mazee. mtegemeeni Mungu, acheni kutegemea pesa. love can do and make everything. mambo makubwa sana duniani hayakuletwa na pesa bali moyo wa kujitolea na upendo. mind you guyz sio kila kitu ni pesa. mi nina uhakika malezi ni so simple na enjoyable kama kweli unao upendo.

NOW QUOTE ME THIS WAY:

a family is not a firm, you dont need financial capital. you only need a heart to establish and run. ooooh, glory to God!
 
Hongera sana Mzee fanya mambo urudi nyumbani ukamuone mwanao!

yaani mkuu, hapa nilipo nina kiherehere kweli cha kupaa kurudi home, yaani ningekuwa fisadi ningeishakodi li airbus hadi bongo. i cant afford my dear
 
mkuu hongera sana! mwenzio baada ya kumpata kelvn niliahidi sitafunga mdomo wangu see my avatar!
I CAN FEEL UR FURAHA YA KO MKUU!
 
mkuu hongera sana! mwenzio baada ya kumpata kelvn niliahidi sitafunga mdomo wangu see my avatar!
I CAN FEEL UR FURAHA YA KO MKUU!

ni kweli mkuu, this is furious happiness!, yeah, this time happiness strikes back!!
 
hapa natetemeka kwa furaha, nimeweka muziki wa rose mhando uitwao MUNGU NITAKUSHUKURU. nimejawa na furaha, lakini niko mbali sana nje ya Tanzania, ningependa kuwepo lakini nimesafiri masafa marefu kutafuta maisha lakini mwenzangu kwa ujasiri mwingi kajifungua salama mtoto wa kiume! Glori to God.

nimetafuta kila upande ndugu yangu wa kumshirikisha furaha yangu nimekosa isipokuwa JF members. jamani Mungu ashukuriwe kwa jinsi anavyotujalia waja wake mapaji kwa ukarimu. libarikiwe jina la Bwana wa Mabwana. amen.

nachakarika nirudi mapema nyumbani kumpakata mwanangu... ooo, nimejawa na furaha wapendwa siwezi kusema kwa usahihi

bila shaka wimbo unaosindikiza shukrani zako ni huu hapa chini.

Utangulizi
ee Mungu wangu nitakushukuru,
mbele ya mataifa yote nitaimba,
dunia nzima nayo itambuliwe hilo,
kwamba jina la Yesu pekee ndilo,
ulimwengu mzima uokolewe kwalo,

1.
asubuhi na mapema, mimi nitaimba,
kabla ya kinywa kunena, kwako nitaimba,
jua lijapozidi, kwako nitaimba,
nijapoteswa kabisa, kwako nitaimba,
nijapodharauliwa, kwako nitaimba,

kiitikio
swii swii swii swiii sikia ee kinanda,
swii swii swiii swiii amka ee kinubi, x2
inuka ee zomari imba kwa sauti,
wo wo wo wo atukuzwe Mungu, x2
ye ye ye ye Jehova Adonai x2,
El Ghibor Shalom, Mungu unayejibu
El Ghibor Shalom, Mungu unaitika

uniondolee majivuno, komesha kiburi
utawale akili zangu, Bwana niongoze,
uifundishe roho yangu, habari za mbingu,
sikizeni ee kizazi changu, Mungu anaishi x2

2. nipe moyo wa nyama, uliopondeka,
moyo ulotulia, na myenyekevu,
mimi si kItu kwako, ni mdudu tu,
mimi ni kama nani, uniinue,
unifinyange Bwana, kama upendavyo,
unifundishe Bwana, kama upendavyo..

kiitikio
swi swi swi swi….

ubarikiwe sana pamoja na mkeo na nawaombeeni baraka za Bwana nyumbani mwenu siku zote za maisha yenu.
sifa na utukufu apewe Bwana wa mabwana.
 
sweet+baby+boy+card.jpg

Hongera sana kwa kuwa baba, tunawaombea mama na mtoto kila la heri....
 
Damn! You reminded me the joy I had in Nov, 2005! It feels good to be a Father! Mungu awabariki nyote na awapeni afya njema! Hongera!
 
Hongera sana kaka na mpe hongera mama,Mungu unayemtukuza azidishe furaha yenu na idumu,mwanawenu akue salama na awe mtumishi mzuri wa nchi yake.:coffee:
 
asanteni wote jamani kwa pongezi na dua. kwa taarifa tu ni kwamba sasa wameisharudi nyumbani wanajichana mitori na supu tu kwa kwenda mbele! jamani mambo mengine raha sana jamani nyie acha tu!

miss Judith nashukuru kuungana nami kwa kutuwekea music halisi unaonikonga moyo wangu sasa hivi. ni kweli ndio huohuo.

jamani, acheni Mungu aitwe Mungu!
 
asanteni wote jamani kwa pongezi na dua. kwa taarifa tu ni kwamba sasa wameisharudi nyumbani wanajichana mitori na supu tu kwa kwenda mbele! jamani mambo mengine raha sana jamani nyie acha tu!

miss Judith nashukuru kuungana nami kwa kutuwekea music halisi unaonikonga moyo wangu sasa hivi. ni kweli ndio huohuo.

jamani, acheni Mungu aitwe Mungu
!

asante mpendwa, ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom