Nimepata msiba.

Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
Pole, alazwe pema peponi mama.
 
YNNAH Mungu akusimamie wakati huu mgumu wa msiba, R.I.P Mama mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun

Pole sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…