Nimepata Msiba, Nitarudi Jamvini Soon!!

Pole sana kamanda, mwenyezi atawapa nguvu muweze kuvumilia haya machungu ya duniani.
 
Pole sana Mkuu, Mwenyezi Mungu akupe wewe na familia yako nguvu na ustahimilivu katika kipindi cha majonzi.
 
Pole sana mkuu kwani kazi ya Mungu haina makosa, Mungu awatangulie ktk kipindi hiki kigumu na mzike salama.
 
Pole sana kwa kufiwa, Mwenyezi Mungu akupe nguvu na uvumilivu kipindi hiki cha maombolezi.

 
Back
Top Bottom