Nimepata Msiba, Nitarudi Jamvini Soon!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepata Msiba, Nitarudi Jamvini Soon!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SHERRIF ARPAIO, Feb 24, 2011.

 1. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu na familia yangu ya wana-JF wote.
  Katika siku chache zilizopita nilifiwa na mdogo wangu anayenifuatia. Nimekuwa out of touch na JF na nitaendelea kutokuwepo jamvini kwa muda kidogo wakati huu mgumu sana kwangu wakati nikiomboleza. Nitarudi tena baada ya maombolezo na machungu ya msiba ulionifika kupungua.
  Mungu ametoa na Mungu ametwaa, na jina lake lihimidiwe. .
  Nitarudi tena na ninawa-miss sana. Tuendelee kupendana na kuelimishana.
  Ahsanteni wote sana
  Ndugu yenu- Sherrif
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  R.i.p
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,958
  Likes Received: 2,630
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu...Mungu akupe nguvu ya ustahimilivu
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Poleni sana mkuu na familia yako kwa msiba huo mzito. Mwenyezi Mumgu mwingi wa rehma awatie nguvu na matumaini!!!
   
 6. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu na familia yako.
  RIP
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  pole sana mkuu.....inshaAllah tukijaaliwa tuonane tena hapa
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Poleni sana kwa msiba!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kiongozi,
  Pole sana wewe na wanafamilia yenu, Mungu awafariji katika njia ifaayo!
   
 10. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 2,405
  Likes Received: 2,831
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa msiba uliokupata, Maisha yanaendelea na Inshaalah, Mungu atawafuteni machozi na mtakuwa sawa. POLE
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Pole sana ndugu yangu.
   
 12. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  inalilah waina ilayhi rajiun..mungu amjaalie aliyefariki njia nzuri,amkinge na adhabu za kaburi,na ampe malipo mazuri kesho akhera..Pole na msiba sheriff
   
 13. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,748
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Pole
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,352
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Pole sana mkuu
   
 15. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 888
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pole sana katika wakati huu mgumu, sote hiyo ndo njia yetu, mwenzetu ametangulia Mungu apewe sifa
   
 16. c

  chetuntu R I P

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mungu mwingi wa rehema awatie nguvu na ustaamilivu.
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Kaka pole sana InshaAllah Mungu atawapeni subra. Kumbuka yeye ametangulia na sisi tupo nyuma yake najua mazowea ndio yanayoleta majonzi na machungu ila kikubwa muombee dua njema.
   
 18. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  pole sana mkuu,mungu akutie nguvu
   
 19. Ontuzu

  Ontuzu Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pole ndugu, yote mipango ya Mungu, sisi tulimpenda yeye kampenda zaidi. wape pole na jamaa wote waliofikwa na msiba huo
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  pole sana ndugu yangu
   
Loading...