Nimepata mpenzi

Nimepata mpenzi

kabisa kama upo siriaz mungu anakupa mtu ambaye hayuponsiriaz and like wise maana hawa walioko jf ndo hao hao wapo mtaani


Mungu akipanga mtu hapangui !
Kama ipo ipo tu !

Mi nawatakia maisha marefu !
Yaliyo na mafanikio mema !

Amina = naiwe
 
Mungu akipanga mtu hapangui !
Kama ipo ipo tu !

Mi nawatakia maisha marefu !
Yaliyo na mafanikio mema !

Amina = naiwe

asante mkuu tuombeane uzima nitakualika
 
honger san mkuu, tunashuru kwa hii feedback natumai mtafik mbali.
 
Jamani nilishapostigi kitambo kidogo kwamba nahitaji mchumba nimeshampata namshukuru mungu na sio hivyo tu nahisi tutafika stage kubwa kilichofanya nipost ni kwamba mtu akikoment katika ile post ya zamani anakuwa kama anai update na watu bila kucheki reply wanakuja inbox kwa wingi sana kiasi kwamba nashindwa kuwajibu wote,nawashukuru kwa ushirikiano wenu but am happly in a wonderful relationship,I love my men an infact ninafurahia kuwa JF bila ugomvi hivyo sipendi uje inbox nikuambie nishapata alafu unaanza matusi si vyema,tubaki marafiki,asante.
sahihisha hapo dada yangu otherwise..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom