Mimi nakutakia kila lenye baraka, mjitahidi sana kuweka mambo yenu private, asijue mtu hata kama mnapitia magumu, especially humu.
.. lakini nasisitiza, mpeane tunda la adam ili mjuane vizuri, tunda ni tamu kama linatosha, tunda ndio kiunganishi cha maisha yenu. Peaneni na msinyimane...