Nimepata mpenzi humu jukwaani

Yan wewe acha tu nahangaikaa weee ngoja nitashukiwa baraka niweze kupandishaa
...., lakini mie situmii app ya JF ila kabla sijagundua ilikuwa ni zoezi kubwa sana, sasa hivi in less than a minute nimeshapandisha kitu. Jaribu kufanya huo utundu unaweza kufanikiwa.
 
Reactions: BAK
Safi sana vp sasa mmeshatangaza ndoa au bado
 
Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje.

Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Kanisa gani la kinondoni au tegeta ??
 
Safari njema ila usijiingize mzima mzima ukavuja kulia kilio kikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…