Ila usisahau leo pia kutafuta pesa. Weekend hii mkuu. Kesho saa 6 mchana utakuta tag zangu, mwenyezi mungu akutangulie usipate mahogo au wa vumbi la kongo. Bye for now
Hahaaa, mshaanza hadi kuchagua nguo za harusi, kweli mko serious[emoji3] [emoji3]Nnakupenda sana Daisy Llilies wangu ila siku nyingine usiwakandie hao andunje Mshana asije niroga bure na mimi nikawa mrefu kwa kwenda chini.
Vipi gauni la harusi tayari umeshachagua?
Hapo naona ndiyo bucha yako, pole weeeNipo home nacheck movie ya avatarView attachment 1134561
Mchepuko mpaka ati unapenda kula koni, ati una uhanga wa kila siku .......Be specific nmeachwa na mme au mchepuko teh
Nipo home nacheck movie ya avatarView attachment 1134561
Huna nyege leo hadi upate muda wa kuangalia movie badala ya kusaka mb[emoji87][emoji87]?
Hapo naona ndiyo bucha yako, pole weee
Ila ukiona anazidi kukuumiza utorokeAsanteeee
Hahaha jaman kaka Jana tu nimeingia dar napumzka uchovu wa safar
ishu gani my dearZuri naomba unipm mrejesho ile ishu ulokuja kuniuliza pm...
Iifanikiwa?
kwa hiyo na wewe ni mbovu mkuuSiwaelewag watu wanaotafta wapenz hum.kabisaaa yani..
Kama mwanamke basi ni mbovu
Kama mwanaume basi sjui ana tatzo gan,nae atakua mbovu ama domo zege au sjui yan
N.b ubovu haimaanish sura mbaya,tuelewane
Ubovu ni kutokua na hiv
1.usafi
2.u smart
3.mbwembwe
4.chambi kdogo
5.mandhari ya kumeet watu huna hata instagram au fesibuku hutak
hahahahaaNitajie I'd yake isije kuwa danga langu
Huu sasa umama ulikoyasoma yaache huko huko acha ufalahMchepuko mpaka ati unapenda kula koni, ati una uhanga wa kila siku .......
Sawa ila hujaleta mrejesho kama ulifanikiwa au la. Nadhani labda ni kwa kuwa ulikuwa safarini. Enjoy maraha raha ya Dar na usisahau kupita kule coco beach ukapate upepo wa pwani na kuogelea. Dar si kama Dom ina maraha ya kila sina [emoji12]
hahahahaa
Hongera mkuu lakini ukiwa umeshafunga ndoa hakikisha usije baadaye kututaka ushauri tumia huu muda kujiridhisha naye.Hongera sana, lkn uwe msir katika mambo yako hii ni hatua ya mwanzo kabisa.
Wengi pia wanakutana humu lkn hawaanzishi uzi kama wew.
Kwenye App naona shida ila nahisi kwa browser ni rahisi