Nimepata mpenzi humu jukwaani

Anahisi anampenda😂😂😂...Yani hana uhakika maana yake
 
Njemba na warembo walio humu ndiyo hao hao waliopo kitaa. Nimepata bahati ya kufahamiana na wachache humu kwa karibu hivyo naweza kusema kuna wanawake wa maana sana humu na wanajitambua hasa.

Mimi binafsi sioni tatizo lolote lile la Njemba au mrembo kuja humu kutafuta mpenzi na baadhi waliokutana humu wamo kwenye ndoa.

Usiwadharau wanachama wote wa JF.

 
Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje.

Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Nadhani huyo atasaidia jukwaa kuwa tulivu. Uzoefu wangu unaonesha wanawake wa JF kabla ya kupata mwanaume humu, huwa mnasumbua na sredi za uhanga na kumwaga razi. Mkipata mnatulia kama mmehama nchi. Mtano Demiss kabla hajampata mshana hapa kulikuwa fujo tupu. katoto kazuri inaonesha ameachwa. @nakwende ameachwa etc
 
Kila nkitaka kuchangia nashindwa.... Venye najiangalia kimo changu basi bana...
 
Hahahahja aisee siyo kweli ila ukipata bwana Jf unajiheshimu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…