Dont be too sure too soon. Ukishampa mambo na akabaki, hapo ndo utajihakikishia kuwa umepata mtu.
Pia usitukane mamba (viandunje) kabla hujavuka mto.
Ndio anadharau anduje kwa kuwa kampata tall. Ila mwisho wa siku asjekushangaa akiolewa na andunje.Huyo ni TOLU Mkuu. π
Hapa ni sawa na mitandao mingine ya kijanii. Mkielewana mnabadilhana namba na picha.Siwaelewag watu wanaotafta wapenz hum.kabisaaa yani..
Kama mwanamke basi ni mbovu
Kama mwanaume basi sjui ana tatzo gan,nae atakua mbovu ama domo zege au sjui yan
N.b ubovu haimaanish sura mbaya,tuelewane
Ubovu ni kutokua na hiv
1.usafi
2.u smart
3.mbwembwe
4.chambi kdogo
5.mandhari ya kumeet watu huna hata instagram au fesibuku hutak
Nnakupenda sana Daisy Llilies wangu ila siku nyingine usiwakandie hao andunje Mshana asije niroga bure na mimi nikawa mrefu kwenda chini.Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha tangu Nina allergy na Andunje.
Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Huyo mpenzi wako ni mwanaume au mwanamke??Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje.
Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Tuongelee kwanza kupelekana nyumbani na kuvalishana pete. Gauni nitashonewa na fundi Mwajuma wa pale Magomeni KageraNnakupenda sana Daisy Llilies wangu ila siku nyingine usiwakandie hao andunje Mshana asije niroga bure na mimi nikawa mrefu kwa kwenda chini.
Vipi gauni la harusi tayari umeshachagua?
Ile thread imemleta super tallYule aliyekufungulia duka na kukuacha ushamsahau mara hii?
Jf bwana.....never boring
Wa kiumeHuyo mpenzi wako ni mwanaume au mwanamke??
ntakupeleka kwanza kwetu ukawaone wifi zako, panapo majaaliwa baada ya mwaka mmoja ntakuja kwenu rasmi kuleta posa,Tuongelee kwanza kupelekana nyumbani na kuvalishana pete. Gauni nitashonewa na fundi Mwajuma wa pale Magomeni Kagera
πππππ my sweet darling unawatia watu hasira tutapigwa ban. Wengine wana share na hili jukwaa. Ninaomba tuishie hapo.ntakupeleka kwanza kwetu ukawaone wifi zako, panapo majaaliwa baada ya mwaka mmoja ntakuja kwenu rasmi kuleta posa,
Au we unaonaje my swiiti daring?
Hahahaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my sweet darling unawatia watu hasira tutapigwa ban. Wengine wana share na hili jukwaa. Ninaomba tuishie hapo.
Hapa ni sawa na mitandao mingine ya kijanii. Mkielewana mnabadilhana namba na picha.
Mkionana kama hamuelewani mnaachana
HongeraNimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje.
Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.
Na english imepanda ghafla,, tena cha malkiaHahahaaaaaaaa
Sawa mai waifu tu bi.
HahahaaaaaNa english imepanda ghafla,, tena cha malkia
[emoji23] natania tu