Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

Duuuuuh mwezi tu tayari umeshawaza ndoa?
Hongereni anyway...
Ndoa haihitaji mbwembwe dada
Mkishapendana tu mnaweza ishi

Mimi napinga uchumba wa miaka mitatu
Huo sio uchumba wala si kuchunguzana, ni kutumiana tu
 
Back
Top Bottom