sio nyani ngabu?Hongera sana mkuu mkipata mtoto muiteni Lara1 kama wa kike kama wa kiume muiteni Mzizi mkavu kwa heshima ya jf. (Ushauri)

really??? i thought r just jokes!!!Hongera sana Dumelo!
Hii Jamii Forum hata mimi ilinipatia mume mwema sana. Yani tupo kwenye ndoa zaidi ya miaka mitatu sasa na tumebarikiwa mtoto pia. Tunapendana na kuheshimiana sana. Ila ni muhim kuwa na subira kwenye kutafuta na pia kumuomba sana Mungu akuongoze kwenye utafutaji wako.
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa si uchukue wazee wenzako ambao mtawezeana hahahahaaaaVijana nitawawezea wapi mimi....!!!??
Wasije wakanitengua kiuno bure....
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa si uchukue wazee wenzako ambao mtawezeana hahahahaaaa
sasa kwanini uteseke wakati unaye tayari au unajoke hapa hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa kaa na huyohuyo madameWazee nao wanataka vijana damu changa....
karibu sana kamati ya fedha nitakuwa katibu
sasa kwanini uteseke wakati unaye tayari au unajoke hapa hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa kaa na huyohuyo madame




mim ntaomba kamati ya vinywaji au chakula...karibu sana kamati ya fedha nitakuwa katibu
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pole mwaya sasa si utafute kama wenzako wanavyotafuta hapa au haujaona kile kiconnected kule juu hahahahaaaaaaaaaaaaNingekuwa naye ningelia lia hapa.....wewe huoni hali ya hewa inavyohangaisha jando....!!!!
Tena usinikumbushe mateso ya baridi la jana usiku...!!!??![]()
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pole mwaya sasa si utafute kama wenzako wanavyotafuta hapa au haujaona kile kiconnected kule juu hahahahaaaaaaaaaaaa
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa leo umenichekesha sana aiseee pole ila utawapata wale wenye vigezo vya ufupi uisikate tamaa nenda kwenye lile jukwaa pendwa kule juu anza kumwaga sera zako uenda akatokeza tuVigezo vinaniangushaga.....
Si unaonaga wanasema wanataka six pack na uwe mrefu sijui kilometa kadhaa.....
Mara wenye mastaz.....
Sasa wakina sie na ufupi huu....na hii one pack
Unajikuta automatically umetolewa nje ya mchezo....labda tujifunge mbao miguuni angalau tuonekane warefu.....
Mwenzio amependa!Duuuuuh mwezi tu tayari umeshawaza ndoa?
Hongereni anyway...

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa leo umenichekesha sana aiseee pole ila utawapata wale wenye vigezo vya ufupi uisikate tamaa nenda kwenye lile jukwaa pendwa kule juu anza kumwaga sera zako uenda akatokeza tu
kwani ufupi wako ni inchi ngapi?
Hahahhh alijua yupo instaMc wa harusi nipo mkuu...naamini pia kadi utatoa kwa mashemeji wote wa MMU.
NB: ni PM sio DM