Nimepata mchumba au kombora?

Asante kwa ushaur mzr nimejifunza
 
Mmh hapo chacha, na hivi umemuandika humu, hata hivyo miezi uliochat ni mingi kiasi kuwa asingekuomba hiyo hela, mie nafikiri mngekutania kwenye maofisi yenu, kwanza na marafiki zenu wawatambue
Mi kwakweli hata simwelewi
 
Uliomba mchumba hapa jf,mchumba amepatikana sasa kwa nini uogope matumizi? mtumie tu.[emoji13] [emoji13]
 
Bora iwe hivo,tunatofautiana sn kiuchumi,kama huwa unatumaga 50 ni ww lkn mimi siwez maana huo uwezo sina kama naaibisha pia haileti doa llt kwako lkn nilitaka nitoe somo kwa huyu bint asirudie kupenda pesa upendo hana
Hakuna somo wala fundisho ulilo toa kwa huyo mdada kwa style hii aiseeee.....
Kwanza naweza sema umemuaibisha, na yawezekana sana wewe ndie chanzo hasa cha kujikweza na kujipaisha, na huku ukimtumia mapicha ya viwanja vikali na mapozi ya bei kubwa.
Wanaume wenzio hua tunaenda kama tulivyo, na hata picha hua tunatuma za kawaida, hata ikibidi unatupia moja unakula ugali na mlenda, nyingine uji na viazi, na hata ikibidi unatupia nyingine ukiwa unaendesha [emoji605] swala.
 
Laiti ungekuwa unajua mtu unayenwambia hayo ni mtu ambaye si wa rika lako Hilo, na tumeyapitia yote hayo, so ninawapeni ushauri tu vijana,Mimi si wa level yako. Ila kama utachukua ushauri chukua, kama unaacha acha.
Jaman twende taratibu ugomvi wa nini wakat tunashaurina tu hakuna aliye mkamilifu,leo kwangu kesho kwako
 
Uliomba mchumba hapa jf,mchumba amepatikana sasa kwa nini uogope matumizi? mtumie tu.[emoji13] [emoji13]
Tatizo pesa anayotaka ni kubwa mno halaf bado mapema mno
 
Mfanyakazi anakuomba mpaka hela ya appointment day 1 mwambia aende ZAKE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…