engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Hahahaha,ili asipokuja uwe tayari kumkamata,lakini SI apande Boda to Boda ili ulipie atapokukuta? Au nawe unapenda kuibiwa,kama vipi hiyo pesa kachangie wahanga Wa tetemeko bukobaLabda nikachukue RB polisi kwanza et
Tumeshajua wanaume mnapenda sana wanawake wacha mungu, so kukwambia mlokole ni njia mojawapo ya kukukamata.Nimelibaini hilo japo sina uhakika lkn yeye mlokole ss atadanganya kwl
Nakubali wewe ni mtu mzima zaidi yangu,ujana maji ya moto unafaham hasa muda wa kuoa unafikiri kipindi hata ww unataka kuoa ulipata mwanamke mmoja tu na huyo ndo ukaoa? najifunza vitu vingi kwako huenda ulioa umri umeenda sana ndo maana mambo kama haya hayajakutokea yan umeingia direct tu ktk ndoa maana mda huo hata jf haipo so usinilaum nimekurupuka ni watu wengi wanapatana mitandaoni na kutengeneza familia bora,ila ukipata mcharuko kama huyu ndo hapo maswali yanaanza kuja kichwani,expense ya nauli tu saiv ni 50 na akivaa pete je itakuaje,
Mi siishi maisha ya anasa kias hicho na siwez yeye kapanda gari kwa mbele mapema mno
Mtumie tu,mbona 50 cyo nyingiShida ndipo inapoanzia hapo
Nitasacrifrice mara ngap sasa mpaka nimpate mke,kumbuka ww hukutangaza nia ya kuoa ilikua just 4 leisure lkn mi nimesema nataka mchumba,sasa mchumba gan huyo mwenye kaz yake kbs alilie tena kwa lazma nitume 50 nosipotuma mimi na yy bas,Powa mkuu hapo nmekuelewa,,ila ushauri wangu ujitahidi Ktk haya mambo usiweke sana kumwekea mtu kuwa labda yupo kimaslahi..ukiweka hivyo hutopata mchumba ata kwa dawa..or otherwise ujihakikishie kwa vigezo zaidi ya vinne baada ya kuwa nae kwa wakati tofauti..nakumbuka kuna msichana nlimpata on fb kipindi kile tunatumia groups,,hahah kimtindo tu kumbe nlipopoint nayy alikua nadhani alipoint apo apo..kweli kuchat fresh tu akataka nimtumie ivyo ivyo ya nauli kipindi iko nlikua chuo ndio tunakaribia kufunga mfukoni kawaida tu sema nlikua nahitaji sana kampan yake maana alionekana hangamfu sana na interest ziliendana...baada ya kutuma alikuja bahati nzuri,,nikuhakikishie Ckuwahi kupata mwanamke aliyekamilika kama yule,sio mapishi nlipikiwa adi nikasema yeah huyu ndio mwanamke sasa,alinipa huduma zote adi nkasema huyu mwanamke ni bora kuliko wote,usafi yan sikujuta kumfahamu na kizuri alikua msomi bas cku tatu ckutaka ziishe..izo ni bahati zinakuja after ku sacrifise vitu vdogo.i got the love of my life through sacrificing money..napendwa adi kesho ingawa cpo nae but tunakumbukana adi kesho kutwa..jaribu kumfatilia mtu kabla hujataka mawasiliano nae zaidi..tho kwa jf cdhani..cjaoa bado najipanga zaidi na zaidi but ikitokea nataka kuoa ntamuoa yeye anamalizia masters maana bado cjaona pingamizi kwake,but we met on fb.na anajua ntamuoa yeye ata kama ananiona kijana wake machachali[emoji1].so next time kama kizinga jaribu kupunguza dau kama mwelewa ataelewa tu kama pasua achana nae wanawake wako wengi mara 2 zaidi ya wanaume..
Nitasacrifrice mara ngap sasa mpaka nimpate mke,kumbuka ww hukutangaza nia ya kuoa ilikua just 4 leisure lkn mi nimesema nataka mchumba,sasa mchumba gan huyo mwenye kaz yake kbs alilie tena kwa lazma nitume 50 nosipotuma mimi na yy bas,
Kuna watu wamesema huenda ni jamaa tu yuko na dem wake wanataka kunifanyia kamchezo flan nimeshtuka na mimi
Nakuelewa kwa hapoOoh na inawezekana pia..mrudie yule mwengine uliemkacha[emoji23]..ila ukitangaza kwa nia ya kutafuta mchumba itakuwia vgumu sana kupata unaehitaji..haswa humu jf..love comes itself automatically n in different design.
Ha,ha,haaaaa.....Nilimpata humuhumu,ila anisamehe tu amegusa parefu mno
Nakuelewa kwa hapo
Lol! Kuna adi wachawi walokole siku iziNimelibaini hilo japo sina uhakika lkn yeye mlokole ss atadanganya kwl