Nimepata mchumba au kombora?

Na kweli siwez
 
Huyo ni money scavenger, mtose, au mwambie achumbiwe na benki. Yaani kuonana anataka nauli ya Dar to Mwanza. Mkikutana matumizi yake yatakuwa ni ticket ya Airbus Dar 2 Mza.
 
Halafu kati ya ke walio jirani na wewe hakuna hata mmoja anayekufaa hadi uje kujianika huku JF kama dagaa?
 
Ndiomaana nasema....
Huyo mdada alikuomba hiyo 50 elfu, baada ya wewe kujikweza kwake.
Hivyo yeye alikuomba hiyo pesa kutokana na jinsi alivyo kutathmini.
Hapa naona unamlaumu bidada bure tu
Huenda makosa ni yangu sasa
 
Huyo ni money scavenger, mtose, au mwambie achumbiwe na benki. Yaani kuonana anataka nauli ya Dar to Mwanza. Mkikutana matumizi yake yatakuwa ni ticket ya Airbus Dar 2 Mza.
Ni bora angeomba pesa kidogo bas hiyo 50 ni nyingi mno lazma mtu ushtuke kwa maisha yalivyobana kipindi hiki
 
kama anafanya kazi hiyo hela ya nn
Kama anakupenda aje kwanza af siku nyingne ndo utamtumia 100000
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukoo mzima hakuna aliyewah kupanda ndege,taxi nilibebwa napelekwa hospital naumwa tu leo nitoe 50 ya taxi kwa mchumba si bora nimtumie mamaangu anunue kitenge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…