Nimepata mchumba au kombora?

Mwambie akupe akaunti ya benki umtumie atoe kwenye ATM.. Kama ni for real lazima atakuwa na akaunt.
 
baba mwenzio kaomba nauli tu ya hako kataksi unakuja kuomba ushauri , ukiambiwa umnunulie tiketi ya ndege si utajinyonga .

tuma nauli huko acha ubahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukoo mzima hakuna aliyewah kupanda ndege,taxi nilibebwa napelekwa hospital naumwa tu leo nitoe 50 ya taxi kwa mchumba si bora nimtumie mamaangu anunue kitenge
 
Sasa baada ya kukwama kwa chepe dawa, rudi kwa black currant 😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukoo mzima hakuna aliyewah kupanda ndege,taxi nilibebwa napelekwa hospital naumwa tu leo nitoe 50 ya taxi kwa mchumba si bora nimtumie mamaangu anunue kitenge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WATU NI WACHOCHEZI KWELI

ET UKITAJA ID ULOTUMIA KUPOST UNATAFTA MCHUMBA NAFUNGA ID YANGU JF,

[emoji28][emoji28][emoji28]MI SIO CHIZI KIASI HICHO

KWAHIYO MNATAKA KUMJUA HUYO DADA EEE

POLENI MI NINAYO HOFU NAPENDA MAISHA YANGU PIA
 
Mm pia nkawa nawaza kam wwe

Ukimpenda mtu kwa dhat huwa hakuna cost...au limitations eti ntumie hyo hela kwanza ndo nije khaaaaa hamna mapenz ya hivyo
Ukipenda huwa tunatumia cost zetu sometimes hata kumuomba hyo unaempnda unaona aibu au unawaza kuwa anawez nifikiria gold digger....mbaya zaid anafanya kazi khaaaa
Angekuwa hana kazi sawa....na hata km ni vip huwez tumia cost kubwa kias hicho cha kumuona unempnda kwa gari hazipo....she want to tell me kuwa she alwys use taxi in evry root....
Sipendi dependant girls while they are working basi tu
 
HUU MJADALA NAUFUNGA RASMI KWA SASA MAANA HUYO BINTI KASHATUMA MTU NIKO NAE HAPA ANA UJUMBE NGOJA NIMSIKILIZE[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]UKIMYA TAFADHALI
 
Haya, ila usitume! Ukituma utakua mjinga, na siku zote mwanaume wa kweli huwa na nidhamu ya pesa.
Kama vipi nenda wewe huko aliko uone kama utatumia hyo elf 50.
Hilo wazo jema
 
Ulikua wap ndugu yangu bora umesema ukweli niliokuwa sijaujua na kuutamka hapa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukoo mzima hakuna aliyewah kupanda ndege,taxi nilibebwa napelekwa hospital naumwa tu leo nitoe 50 ya taxi kwa mchumba si bora nimtumie mamaangu anunue kitenge
Tena mchumba mwenyewe hewa!! Maana hata wewe hujui kama mtakubaliana mtakapoonana au vipi, halafu huyo bado ni rafiki/ mpenzi, kwan mlichumbiana lini nyie?
 
Tena mchumba mwenyewe hewa!! Maana hata wewe hujui kama mtakubaliana mtakapoonana au vipi, halafu huyo bado ni rafiki/ mpenzi, kwan mlichumbiana lini nyie?
Wala hatujachumbiana ndo kwanza tungeanza kuonana leo
 
ni kweli kabisa ila kwa mwanaume yoyote hakuna cha Bure labla kwa mkeo ulomtolea mahali, Hugo Dada anaona aanze kuingia gharama wakati hata MTU hawajusni physically?

anyway mleta uze kasome iniri ya Luke chp 16:1-16 (ambae hawezi kutoa kidogo hats kikubwa hawezi)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…