Nimepata mchumba au kombora?

Nyambafu zake huyo tapeli ,hivi kweli Tanzania hii kuna kibinti ambacho hakijawahi kupanda bodaboda?.

Jibu ni kwamba hayupo wote walishapanda bodaboda,kwanini akudanganye sasa ili akuibie .piga chini huyo
Alafu kinajiekiti matawi ya juu hakipandi bodaboda cha ajabu kutananacho sasa utakikuta kimechoka,hakina shepu sura utadhani kinatumbuliwa jipu.
 
Nakubali wewe ni mtu mzima zaidi yangu,ujana maji ya moto unafaham hasa muda wa kuoa unafikiri kipindi hata ww unataka kuoa ulipata mwanamke mmoja tu na huyo ndo ukaoa? najifunza vitu vingi kwako huenda ulioa umri umeenda sana ndo maana mambo kama haya hayajakutokea yan umeingia direct tu ktk ndoa maana mda huo hata jf haipo so usinilaum nimekurupuka ni watu wengi wanapatana mitandaoni na kutengeneza familia bora,ila ukipata mcharuko kama huyu ndo hapo maswali yanaanza kuja kichwani,expense ya nauli tu saiv ni 50 na akivaa pete je itakuaje,

Mi siishi maisha ya anasa kias hicho na siwez yeye kapanda gari kwa mbele mapema mno
 
Alafu kinajiekiti matawi ya juu hakipandi bodaboda cha ajabu kutananacho sasa utakikuta kimechoka,hakina shepu sura utadhani kinatumbuliwa jipu.
Mbona wewe ndo kama fabvic au hii ndo ID yako kati ya zile ulizoficha? Mwanzoni uliongea kipole sasa unakuja na matusi? kama wewe siye mwenye uzi wake, basi usimharibie yeye ana staha.
 
Tangu uzaliwe hujawah hata kupiga picha upo kanisan au msikitini?,bas mashaka yangu we ni mpagani
 
Sijawahi kupiga picha na kanisa langu haliruhusu kwanza kupiga picha ndani. Na wakati nakua hata hizi za black and white kwetu kijijini hazikuwepo.
 
Sijawahi kupiga picha na kanisa langu haliruhusu kwanza kupiga picha ndani. Na wakati nakua hata hizi za black and white kwetu kijijini hazikuwepo.
Tatizo hilo
 
Tapeli wa wazi wazi ilikuwa haitaji ata ushauri kujua ili.hakuna make apo.
Mi nilitaka nimweke tu hapa kwanza ili roho imuume na kanyamaza kimyaaa wakat ni wa humuhumu,kanitukana an sina ham nae
 
Nimecheka sana... utume elfu50 ya nini? Kila a kheri... unatapeliwa ndugu.. shtuka...
 
Nyambafu zake huyo tapeli ,hivi kweli Tanzania hii kuna kibinti ambacho hakijawahi kupanda bodaboda?.

Jibu ni kwamba hayupo wote walishapanda bodaboda,kwanini akudanganye sasa ili akuibie .piga chini huyo
Bora
 
Hujui picha zinadistruct attention ya waumini? Kwanza ili iweje, pili unamtangazia nani? Tunaenda kusali na kusikia neno sio kwenye promotion na advert.

Niah twende kanisani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…