Kubwa la Maadui kulikoni kushangaa? Msela wangu nae ana mchepuko ambao haingii gharama yoyote ile. In fact mchepuko unamletea msela gifts kibao na msela huwa anaendaga nazo huko njia kuu! It is the ways of this cruel world! Kina dada wengine wanachohitaji ni kuwa tu na mwanaume as and when they need no matter what!