ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Utakohoa sana mwaka huu.
Kwa kipi mkuu..
Utakohoa sana mwaka huu.
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani. Michepuko ina maudhi ya mizinga ya hapa na pale na mingi ni ya kushtukiza tu. Lakini mie nimebahatika kupata mchepuko usio na gharama au cheap karibu na bure kabisa mpaka nijishtukie mwenyewe na hasa tukitoka out kwenye maeneo ya starehe kuchangia bills za eneo la tukio.
Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri wa kipato na ana kazi yake nzuri tu pamoja na miradi ya hapa na pale pia hana tamaa ya mizinga ya hapa na pale. Kiufupi hana dhiki si kama wanawake wengine makahaba wakimpata mwanaume wanachukulia kama kitega uchumi chake a.k.a ATM.
Usiniulize kwa nini sijabaki njia kuu, kule hakuna matatizo wala mapungufu yoyote nimechepuka tu kama entertainment ya ziada tu.
Makubwaaaaaaa!
huyo ni sugar mummy ukimuita mchepuko unakosea
hongera kwa kulelewa
Siyo kulelewa tunashare cost. Wanaolelewa ni vijana wanaohamia kwa masugar mumy na kugharimiwa kila kitu. Mimi nina familia mambo yangu yapo super hamna njaa watoto wanasoma shule nzuri. Kwa mchepuko ni burudani ya ziada tu.huyo ni sugar mummy ukimuita mchepuko unakosea
hongera kwa kulelewa
haya mariooo hongeraSiyo kulelewa tunashare cost. Wanaolelewa ni vijana wanaohamia kwa masugar mumy na kugharimiwa kila kitu. Mimi nina familia mambo yangu yapo super hamna njaa watoto wanasoma shule nzuri. Kwa mchepuko ni burudani ya ziada tu.
Mie mwanaume anayejisifu kutohudumia mwanamke wake simuelewagi!!!!