Nimepata mchepuko usio na gharama

duuuu kazi ipo aiseee mgeni njoo mwenyej apone
 
Huo ni mwanzo tu.subiri. mwenzio anakusoma udhaifu wao,akishaujua ndio utakapotambua kuwa michepuko =ruba
 
[Hana gharama kwa sababu ana uwezo mzuri....]

Mko wangapi?
Tafakari, chukua hatua...just thinking loud!
 
Gharama ya michepuko siyo pesa tu. Endelea ku enjoy but be careful. Kuna siku utakuja hapa unaomba ushauri.
 
huyo ni sugar mummy ukimuita mchepuko unakosea
hongera kwa kulelewa
Siyo kulelewa tunashare cost. Wanaolelewa ni vijana wanaohamia kwa masugar mumy na kugharimiwa kila kitu. Mimi nina familia mambo yangu yapo super hamna njaa watoto wanasoma shule nzuri. Kwa mchepuko ni burudani ya ziada tu.
 
haya mariooo hongera
 
Kiukweli sijawahi kujua.kupima mapenzi kwa.huduma anazotoa mtu.

Ila mwanamme asiyetoa kabisa anashangaza tu.

Mie mwanaume anayejisifu kutohudumia mwanamke wake simuelewagi!!!!
 
Ha ha ha ha ha haaa.ati entertainment ya ziad.wanaume hamridhk pumbav nynyii.mkeo hajui kama unafanya uchafu kama huo.siajabu mkeo mtulivu na umejsema hakuna tatzo wala mapunguv..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…