Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,240
- 5,248
Watu ambao hawan tatizo lolote la kifedha ndio wanaongezewa michongo ya hela na kuzawadiwa mavitu ya gharama!😅Wanafunzi hawana hata madawati halafu unasikia kodi yako imetumika kuwajengea majumba na kuwanunulia wastaafu magari.
Wasionacho wanakamuliwa kichizi only in Tanzania