Au kama Vipi amle kiboga🤣Achana na huyo mwanamke usimle Tena hata kama ni mzuri alafu endelea na dozi mpaka iishe
Mimi niliwahi kuambukizwa sijawahi kumla Tena huyo dadaAu kama Vipi amle kiboga🤣
Ulimla kiboga ndio ukaambukizwa?🤣Mimi niliwahi kuambukizwa sijawahi kumla Tena huyo dada
Gono na umeme ni sawa na uji na mgonjwa. Tangulia mwamba!Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.
Nimetibiwa lakini mpaka sasa napata maumivu kwenye urethra na nikikojoa napata maumivu japo usaha umeacha kutoka naombeni ushauri hali sio poa.
Usiseme hivyo Kesha kwambia kapima HIV tyr🤣Gono na umeme ni sawa na uji na mgonjwa. Tangulia mwamba!
Your welcome 🤣Asante kwa ushauri, ni mzuri sana
Mbona kama watoa ushuhuda🤣Kitu inafedhehesha hiyo ukiwa na Mke wa ndoa na ndiye anakufulia nguo. Unavuaje nguo imejaa usaha afue hahaha
🤣🤣🤣 Imeisha hiyo 🤒Nimeumaliza mwendo sio? 🤣🤣