Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Mshahara wako upoje,
- je kampuni watagharamia usafiri na malazi ukiwa zenji?
 
Me au Ke ? Changamoto chakula kule hasa kama utakaa nje ya mji...
Mind you hiyo nje ya mji ni kama 8-10km kutoka Mjini (stone town), kingine kupata chumba Cha kupanga si rahisi pia, watu wapo tayari nyumba atoe bure kwa ndugu yake lakini si kupangisha,
Pia kama ni Me, mbususu si rahisi kupata pia
Kuna mengine uliyoyasema si sawa, ila mbususu zipo lakini ni za machangudoa na baadhi ya kina mama wanaotumiwa na waume zao kuuza mbususu kukidhi mahitaji ya nyumbani. Unakuta mwanamme anashinda msikitini tu siku nzima, hana elimu yeyote eti anategemea Mungu atampa kazi kwa kukariri Qur'an tu na ndiyo maana unakuta wanaume wengi wa kule wanawake wao ni waru wasio na elimu ili waweze kuwacontrol kwa kisingizio cha dini.
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Nyumba au chumba cha kupanga vinasumbua sana, Chakula ni gharama sana utaukumbuka ugali wa bara, fedha haina thamani vitu vingi bei juu isipokuwa used za electronic, Kama mkeo au demu wako ana matako makubwa usimpeleke Visiwani ataibiwa kwa au kuolewa kabisa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hayo masharti yamewekwa kwa sheria au kanuni ipi?

Usichanganye kati ya maneno ya kuambiwa na sheria.
Mtanganyika mwenzangu amesema chuki alizopitia akiwa Zanzibar halafu unaniulizia wapi Sheria za Zanzibar zinaruhusu hizo chuki? Ningependa kuelewa swali lako kabla sijakujibu.
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Changamoto kubwa ni chakula cha usiku chai na mkate wa bofulo.
 
Huko kupiga nyeto ni dhambi, kunywa pombe kujiburudisha pia ni dhambi, kula wakati wengine wamefunga ni dhambi, yaani jirani zako ndiyo watakao amua namna ya wewe kuishi maisha yako. Mtu hana hela au kazi, anakula mara moja kwa siku, atataka na wewe uishi kama yeye, Ukifanya tofauti na wao wanakutupia majini.
Sita sahau walivyo haribu vyakula vitamu anavyopika wife ,kisa wao wanakula mara mbili kwa siku, morning and night. Unakuta chakula kimepoteza Radha kabisa
 
Nyumba au chumba cha kupanga vinasumbua sana, Chakula ni gharama sana utaukumbuka ugali wa bara, fedha haina thamani vitu vingi bei juu isipokuwa used za electronic, Kama mkeo au demu wako ana matako makubwa usimpeleke Visiwani ataibiwa kwa au kuolewa kabisa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Wanawake wa pemba wengi ni matukunyema na wamepigwa pasi mgongoni.
 
1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika
2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume
3. Kitimoto haramu ila trako suna
4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
 
Back
Top Bottom