Maisha yamebadirika mkopo sahivi unaupata kwenye simu yako tuu sioni aja ya kuuza vitu zaidi fanya kukopa huko kwa dhamana nafuu zaidi
Kinachonitia hofu zaidi katika maisha yako hauna marafiki hauna ndugu wa karibu au wewe ni mgumu kusaidia hadi hausaidiki
Ndio, kuna taasisi haziajiri moja kwa moja inabidi upitie kampuni nyingine. Hujawahi kusikia watu kama erolink(sijui kama bado wapo)?Yaani naomba kuelewa kidogo, unafanya kazi kampuni A, lakini umeingia mkataba na kampuni B ambao ni Recruiting Agency? Hebu fafanua hapa samahani.
Ndio, kuna taasisi haziajiri moja kwa moja inabidi upitie kampuni nyingine. Hujawahi kusikia watu kama erolink(sijui kama bado wapo)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kama ipo hivi kweli ni balaa, yani kazi ufanye wewe hela achukue mwingine sababu ninacho kiona hapo huyu ndugu atakuwa hapewi stahiki zake kamili.Yaani naomba kuelewa kidogo, unafanya kazi kampuni A, lakini umeingia mkataba na kampuni B ambao ni Recruiting Agency? Hebu fafanua hapa samahani. Kwa hiyo mwisho wa mwezi hawa kampuni B, wanalipwa mshahara wako, wanakata cha juu then wanakulipa wewe kwa mkataba mlio ingia?
Duu kama ipo hivi kweli ni balaa, yani kazi ufanye wewe hela achukue mwingine sababu ninacho kiona hapo huyu ndugu atakuwa hapewi stahiki zake kamili.
Zamani kweli kulikuwa na unyonyaji japo saivi wanasena wamebadilika baada ya kubanwa na serikali n watu kulalamika. Tatizo ni kuwa mwajiriwa huoni mkataba kati ya hizo kampuni mbili so huwezi jua kama unachopata unastahili au vipi.Duu kama ipo hivi kweli ni balaa, yani kazi ufanye wewe hela achukue mwingine sababu ninacho kiona hapo huyu ndugu atakuwa hapewi stahiki zake kamili.
Huu ndo mtindo wa sasa, tena zipo nyingi sana mjini hapa, kama kampuni A unayofanyia unalipwa let say 500k inapitia agency B halafu wewe mfanyakazi (kibarua) ndo unalipwa hata 320k au chini ya hapo.Yaani naomba kuelewa kidogo, unafanya kazi kampuni A, lakini umeingia mkataba na kampuni B ambao ni Recruiting Agency? Hebu fafanua hapa samahani. Kwa hiyo mwisho wa mwezi hawa kampuni B, wanalipwa mshahara wako, wanakata cha juu then wanakulipa wewe kwa mkataba mlio ingia?