Nimepata kazi ila sina nauli; nauza vitu hivi

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,449
2,000
Maisha yamebadirika mkopo sahivi unaupata kwenye simu yako tuu sioni aja ya kuuza vitu zaidi fanya kukopa huko kwa dhamana nafuu zaidi

Kinachonitia hofu zaidi katika maisha yako hauna marafiki hauna ndugu wa karibu au wewe ni mgumu kusaidia hadi hausaidiki
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
15,353
2,000
Maisha yamebadirika mkopo sahivi unaupata kwenye simu yako tuu sioni aja ya kuuza vitu zaidi fanya kukopa huko kwa dhamana nafuu zaidi

Kinachonitia hofu zaidi katika maisha yako hauna marafiki hauna ndugu wa karibu au wewe ni mgumu kusaidia hadi hausaidiki
Ukishakaa mtaani muda mrefu bila issue watu wa kukusaidia wanakimbia.

Wakiona simu yako tu wanajua anaomba hela, hizo ni changamoto za kukaa kitaa.
 
Ndukidi

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,483
2,000
Yaani naomba kuelewa kidogo, unafanya kazi kampuni A, lakini umeingia mkataba na kampuni B ambao ni Recruiting Agency? Hebu fafanua hapa samahani. Kwa hiyo mwisho wa mwezi hawa kampuni B, wanalipwa mshahara wako, wanakata cha juu then wanakulipa wewe kwa mkataba mlio ingia?
 
geek01

Senior Member
Jul 11, 2017
148
250
Yaani naomba kuelewa kidogo, unafanya kazi kampuni A, lakini umeingia mkataba na kampuni B ambao ni Recruiting Agency? Hebu fafanua hapa samahani.
Ndio, kuna taasisi haziajiri moja kwa moja inabidi upitie kampuni nyingine. Hujawahi kusikia watu kama erolink(sijui kama bado wapo)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ThugMaster

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,067
2,000
Yaani naomba kuelewa kidogo, unafanya kazi kampuni A, lakini umeingia mkataba na kampuni B ambao ni Recruiting Agency? Hebu fafanua hapa samahani. Kwa hiyo mwisho wa mwezi hawa kampuni B, wanalipwa mshahara wako, wanakata cha juu then wanakulipa wewe kwa mkataba mlio ingia?
Duu kama ipo hivi kweli ni balaa, yani kazi ufanye wewe hela achukue mwingine sababu ninacho kiona hapo huyu ndugu atakuwa hapewi stahiki zake kamili.
 
Ndukidi

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,483
2,000
Duu kama ipo hivi kweli ni balaa, yani kazi ufanye wewe hela achukue mwingine sababu ninacho kiona hapo huyu ndugu atakuwa hapewi stahiki zake kamili.
Ndio sababu serikali ilipiga marufuku makampuni ya namna hii, nadhani ilikuwa kwenye issue ya Dangote Mtwara. Nashangaa kama wamerudi upya. inabidi wakemewe kabisa, wanatakiwa kukutafutia kazi mnamalizana, lakini sio kuingia mktaba then wao ndio wakulipe badala ya unayemfanyia kazi.
 
geek01

Senior Member
Jul 11, 2017
148
250
Duu kama ipo hivi kweli ni balaa, yani kazi ufanye wewe hela achukue mwingine sababu ninacho kiona hapo huyu ndugu atakuwa hapewi stahiki zake kamili.
Zamani kweli kulikuwa na unyonyaji japo saivi wanasena wamebadilika baada ya kubanwa na serikali n watu kulalamika. Tatizo ni kuwa mwajiriwa huoni mkataba kati ya hizo kampuni mbili so huwezi jua kama unachopata unastahili au vipi.
Kwa case yangu at least mshahara ni mule mule kama niliowatajia kwenye interview. Sasa sijui kama nastahili kupata zaidi ya hapa au vipi maana sijui wao wanalipanaje. Hata hivyo bado naona kuna umuhimu wa kuwa na mjadala kuhusu hili suala, maana ukishakaa mtaani hata ukiambiwa unalipwa kidogo inabidi tu ukubali ili uingie kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
64gb

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,231
2,000
Yaani naomba kuelewa kidogo, unafanya kazi kampuni A, lakini umeingia mkataba na kampuni B ambao ni Recruiting Agency? Hebu fafanua hapa samahani. Kwa hiyo mwisho wa mwezi hawa kampuni B, wanalipwa mshahara wako, wanakata cha juu then wanakulipa wewe kwa mkataba mlio ingia?
Huu ndo mtindo wa sasa, tena zipo nyingi sana mjini hapa, kama kampuni A unayofanyia unalipwa let say 500k inapitia agency B halafu wewe mfanyakazi (kibarua) ndo unalipwa hata 320k au chini ya hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom